Hamna haja. . .nimeshaanza kuwekeza kwenye kitu cha beretta M9 na hand grenade.
NO IT DOESN'T.
Na swala la kuweka music wengine watakuambia limekaa kitamthilia/kizungu zaidi na wengine hawana interest na music. Hata huo muda wa kuanza kutafuta sijui cd yenye nyimbo nzuri za kukolezea mambo hawana kahiyo sauti ya tv ndio inayowaokoa kwenye hilo. Uzuri unajijua. Sasa hiyo ni mojawapo ya hali ambazo zinafanya uwepo wa tv upunguze ukaribu unless ofcourse wote mnadatishwa na mpira.
Nafikiri hii topic inategemea mahali ulipo, nimefanya kazi kwa miaka miwili ya kufanya satellite TV Installation naweza kusema kwa uhakika katika kipindi hicho sijapata zaidi ya nyumba 5 zenye tv moja. Watu almost wote wana TV vyumbani mwao. Je kwa wale wanaopenda XXX je utaangalizia living room? Watoto wanataka kuangalia Cartoon (SpongeBob, Mick Mouse nk) na wewe unataka kuangalia comedy itakuwaje? TV zote zina power button, hivyo basi ni juu ya mtumiaji wakati gani aiwashe/kuzima.
Siku utakapotoka kwenye hiko kundi ungependa kuweka TV kwenye chumba cha kulala na kwa nini?
Kuna dada nilikutana nae siku za karibuni na alikuwa anatupa life experience yake ambayo ni ya hajabu; anaishi nchi moja ya ulaya na anasema hatumii TV; na anatumia internet kwa shughuli maalumu; hivyo ni kwa limited time. (mmoja wetu akamwambia basi wewe ni radical...alibadilika mpaka rangi mpaka ikabid tu define what it means in a positive way). Alitufanya wote tuliokuwa tunamsikiliza tujitazame na kujiona tumekuwa watumwa wa modernization.
i
Halafu na nyie jinsi mnavyopenda kusikilizwa attentively mkiona tume-concentrate zaid kwenye TV mnaizima kwa hasira, eti you're not listening.
There you go. Kumbe inakula kote kote.
HAHAHAHAHA Matola
Huwa wana'DO' huku wanapost.
Hata mimi nahisi hivyo aisee, yani JF ni full vituko kwanza utashangaa watu wa MMU sijui ni muda gani huwa wanapractice hayo mapenzi ambayo wao ni mahiri kuyachambuwa.
Kwakweli nachoka kabisa.