Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,732
Huo ni mchanganyiko unaokuja wenyewe ukiwa umekamilika ..mahindi (sweet)...carrots..peas..n.k.... sijui wanauita veggies sky eclat atatupatia jina.Nimeona mahindi ya njano, hapo mie ningeongeza nyanya, mayai ya kuchemsha yaliyokatwakatwa halafu parachichi na tango kwa pembeni.
Kasinde.