Lunch jikoni kwa Sky

Daaah! Hivi Primo ni chakula pia mimi nilijua ni application ya android??
ayaaaa mkuu tatizo wazee wa Dar hamtaki kutembea na kuijua nchi yako,karibu mkuu huku Lingusenguse kuna Italian based restaurant inaitwa Primmi Pianti,wana menu yao inaitwa PRIMO ambayo imetengenezwa na ;fresh creamy sauce,gypsy ham(unaweza badilisha kama huli),mushrooms,black pepper na pecorino cheese.its Mwaaa (hasa agiza itengenezwe kwa kutumia Fettuccine pasta)
 

Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom