Lunch jikoni kwa Sky

Lunch jikoni kwa Sky

Nimeona mahindi ya njano, hapo mie ningeongeza nyanya, mayai ya kuchemsha yaliyokatwakatwa halafu parachichi na tango kwa pembeni.

Kasinde.
Huo ni mchanganyiko unaokuja wenyewe ukiwa umekamilika ..mahindi (sweet)...carrots..peas..n.k.... sijui wanauita veggies sky eclat atatupatia jina.
 
Daaah! Hivi Primo ni chakula pia mimi nilijua ni application ya android??
ayaaaa mkuu tatizo wazee wa Dar hamtaki kutembea na kuijua nchi yako,karibu mkuu huku Lingusenguse kuna Italian based restaurant inaitwa Primmi Pianti,wana menu yao inaitwa PRIMO ambayo imetengenezwa na ;fresh creamy sauce,gypsy ham(unaweza badilisha kama huli),mushrooms,black pepper na pecorino cheese.its Mwaaa (hasa agiza itengenezwe kwa kutumia Fettuccine pasta)
 
Back
Top Bottom