Lunch ilikuwaje leo?

Kaka hivi wewe ndie MFUNYUKUZI???, umebadili jina au nakosea, nisahihishe kama nakosea

Angalia profile yangu ndugu...

Safari_ni_Safari

JF Senior Expert Member
Join Date:Fri Oct 2007
Posts:2,650
Thanks:429
Thanked 803 Times in 497 PostsRep Power:29
 
Angalia profile yangu ndugu...

Safari_ni_Safari

JF Senior Expert Member
Join Date:Fri Oct 2007
Posts:2,650
Thanks:429
Thanked 803 Times in 497 PostsRep Power:29
Ok, nimekupata Ndg. Kuna member humu anajulikana kama Mfunyukuzi nae ni hodari sana ktk jukwaa hili la Photo. ila amepotea kidogo nikahisi ni wewe umebadili jina
 
Ok, nimekupata Ndg. Kuna member humu anajulikana kama Mfunyukuzi nae ni hodari sana ktk jukwaa hili la Photo. ila amepotea kidogo nikahisi ni wewe umebadili jina

Tuko fani moja mimi ,yeye na michuzi.....ila sisi hatuna bloggu
 
kweli watu mna vituko au ni uchofu wa brain uchakachuaji wa kura za uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…