Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Mimi niliagiza kuku mkavu nikaletewa huyu...apetite yoote ikaisha
mimi niliagiza kuku makavu nikaletewa huyu...apetite yoote ikaisha
hujaita police?
hivyo eeh...ngoja nimpigie kova sasa hivi..hivi nimwambieje?
lakini ujiandae kusaidia polisi
Kaka hivi wewe ndie MFUNYUKUZI???, umebadili jina au nakosea, nisahihishe kama nakoseaMimi niliagiza kuku mkavu nikaletewa huyu...apetite yoote ikaisha
Kaka hivi wewe ndie MFUNYUKUZI???, umebadili jina au nakosea, nisahihishe kama nakosea
Ok, nimekupata Ndg. Kuna member humu anajulikana kama Mfunyukuzi nae ni hodari sana ktk jukwaa hili la Photo. ila amepotea kidogo nikahisi ni wewe umebadili jinaAngalia profile yangu ndugu...
Safari_ni_Safari
JF Senior Expert Member
Join Date:Fri Oct 2007
Posts:2,650
Thanks:429
Thanked 803 Times in 497 PostsRep Power:29
Ok, nimekupata Ndg. Kuna member humu anajulikana kama Mfunyukuzi nae ni hodari sana ktk jukwaa hili la Photo. ila amepotea kidogo nikahisi ni wewe umebadili jina
Tuko fani moja mimi ,yeye na michuzi.....ila sisi hatuna bloggu
Ungekula tu
Huyo kwenye red si kanunuliwa na mafisadi! na wewe kumbe umenunuliwa?
Ungekula tu
mkuuu hatutakufa bwana! Avatar yako imenifurahisha sana mkuu!tena mimi ningeanzia chini!