Leo nimeyakanyaga. Nimevamia hotel isiyo ya kiwango changu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Dah, inasikitisha sana

Ndio maana nilikuwa naona watu wanaagiza wali nyama, wanakula vijiko viwili tu, kisha wanatupa msosi na sahani zake kwa dastibini

Kuna binti kaagiziwa kuku rosti mzima na sponsa/ baba yake, katafuna upaja, kasukumia kwenye ndoo ya taka

Nimeagiza wali mkavu na maziwa mgando. Nimemaliza kula nikaletewa bill inayosoma Tsh. 70,000.

Nimeilipa japo kwa mbinde. Sasa hivi nipo hapa nje ya hotel nang'ata kucha. Mwili wote umepoa

Nifanyeje?
 
Poa
Watoto wenzio watakujuza
 
Uongo wa kitoto sana . Kubuni story ya kuchekesha au mafunzo ni mpaka uwe na akili. Eti unang'ata kucha si ndo ushoga huo? Mwanaume huwezi hata tania suala hilo. Na hotel gani mtu anakula na dustbin ipo pembeni? Acheni utoto hii siyo facebook
 
Dah, inasikitisha sana

Ndio maana nilikuwa naona watu wanaagiza wali nyama, wanakula vijiko viwili tu, kisha wanatupa msosi na sahani zake kwa dastibini

Kuna binti kaagiziwa kuku rosti mzima na sponsa/ baba yake, katafuna upaja, kasukumia kwenye ndoo ya taka

Nimeagiza wali mkavu na maziwa mgando. Nimemaliza kula nikaletewa bill inayosoma Tsh. 70,000.

Nimeilipa japo kwa mbinde. Sasa hivi nipo hapa nje ya hotel nang'ata kucha. Mwili wote umepoa

Nifanyeje?
Kwa hiyo wateja ndio wanautoa vyombo kwenye hiyo hotel?
 
Back
Top Bottom