Lulu..

Lulu..

Kuna askari wanapenda kuuza sura dah kila Lulu akitua mahakamani hawakosi
 
attachment.php
attachment.php
Analia!!!!


basi tu ila huyu mtoto anajua kweli nini kinamsibu ama anafikiri anatunga firamu?
 
Lady has no whether.
Hata kama yupo kwenye hali ngumu atajifanya yupo comfortable tuu lakini ukweli anaujua yeye mwenyewe.
Mahabusu hakuna raha kiasi hiko.
 
I dont know if am taken by her beauty BUT kiukweli NAMHURUMIA huyu binti sana..people are judging her more than she deserves.NAMHURUMIA i must admit
 
Namhurumia sana huyu binti,I dont know if am taken by her beauty!!! ila honestly Namhurumia..
 
kwa usalama wake inabidi akae karibu na mkuu wa magereza kwa ulinzi salama....
 
Acha ajifariji kesi yake nzito sana asipojifariji atapata pressure bure ameshapata conselling ya kutosha!!ana relax sasa!!
 
Namhurumia sana huyu toto,
inabidi tuanze taratibu za maombi,
ili tuweze kumkomboa huyu mtoto.
Bi mkubwa maombi ni ya aina nyingi. hayo ya huyu ni yapi exactly?
 
basi tu ila huyu mtoto anajua kweli nini kinamsibu ama anafikiri anatunga firamu?

Kila akiona anapigwa picha basi yeye ni 'cheese' tu!!! Na lazima kuna watu watakuwa wanatoa fedha nzuri na kupata vitu vyake huko mahabusu kwani kuna wafungwa wa kike utoka na mimba magerezani!!
 
Binti atashinda majaribu na baada ya hiki kisanga atakuwa kakomaa na siyo wa kuzungushwazungushwa kama pia tena..........
 
Detention could easily rob a person's identity...from somebody to just a certain number recognized by prison authorities.Mhhh! Yale mambo ya kuitafuna dunia kama ice cream yameisha bila kutegemewa. Pole sana Lulu...I learned something from your problems.
 
Back
Top Bottom