warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,382
Wasanii hao walibambwa Live wakifanya mchezo mbaya au uzinzi ndani ya gari la mwigizaji lulu usiku mnene maeneo ya Mbezi beach, askari waliokuwa wakifanya doria waliwabamba live ambapo wasanii hao waliomba wayaongee pembeni ili siri isifuje kwa raia. LULU alipopigiwa simu kujibu mashtaka hayo alikata simu haraka haraka
SOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM
SOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM