Lulu na Young D wafumwa live wakibanjuka ndani ya gari

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,541
2,000
Wasanii hao walibambwa Live wakifanya mchezo mbaya au uzinzi ndani ya gari la mwigizaji lulu usiku mnene maeneo ya Mbezi beach, askari waliokuwa wakifanya doria waliwabamba live ambapo wasanii hao waliomba wayaongee pembeni ili siri isifuje kwa raia. LULU alipopigiwa simu kujibu mashtaka hayo alikata simu haraka harakaSOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,211

Hebu tuondolee upuuzi wako huu, peleka kwa Shigongo.
 
Yusuph Issa

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
528
0
Wasanii hao walibambwa Live wakifanya mchezo mbaya au uzinzi ndani ya gari la mwigizaji lulu usiku mnene maeneo ya Mbezi beach, askari waliokuwa wakifanya doria waliwabamba live ambapo wasanii hao waliomba wayaongee pembeni ili siri isifuje kwa raia. LULU alipopigiwa simu kujibu mashtaka hayo alikata simu haraka harakaSOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM

cha ajabu ni nini kwani young dee hawezi kumwinamisha lulu, kiukweli hii thread inakera!
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,274
2,000
Ukisikia Lulu basi ujuwe ni yuleyule wa Capten Komba ambaye miaka yake ya kuzaliwa inaenda mbele na kupiga revasi.
Kuna huyo aunty Lulu naye wanamwita hivyo hivyo.Kuna thread ikimuhusu yeye na jamaa anayeitwa Bond mwenye michezo mibaya binti akilalamika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom