Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

Huyu POLISI dume naye bana..... Kikwapa hicho bana.

Joto la Dar, pata mavitu hata ya bei nafuu kukausha KIKWAPA, heee...... Nyani Ngambu unakiona lakini

attachment.php

Heheheheeeee....
 
Haki ikitendeka naamini kabisa ataachiwa huru kwani bado kabisa sijashawishika kuwa alimuua Kanumba kwa kukusudia.
 
Duh Kweli Muumba hakimbiwi nenda rudi wakati wa shida utamrejea tu.... Mtoto wa watu mpaka kaamua kuvaa rozari!!! kapitia mengi ati kipindi hiki kigumu
 
Mshahara wa dhambi ni nini vile???? ila tuseme ukweli tu nani hajawahi kutenda kosa hata siku moja??? anyooshe kidole
 
Haki ikitendeka naamini kabisa ataachiwa huru kwani bado kabisa sijashawishika kuwa alimuua Kanumba kwa kukusudia.

Du! Ili haki itendeke ni lazima wewe ushawishike? Du you know all the facts? Hivi mtu akiua bila ya kukusudia hukumu yake ni nini?

Tuache sheria ifuate mkondo wake na kama hana hatia basi aachiwe huru na jamii impokee kwa mikono miwili.
 
Du! Ili haki itendeke ni lazima wewe ushawishike?

Huo ni mtazamo wangu. Na wewe uko huru kuwa na wa kwako. Umesikia?

Du you know all the facts?

No I don't but neither do you. The only people that know "all the facts" are Lulu and Kanumba. Unfortunately he is not here to tell his side of the story.

Hivi mtu akiua bila ya kukusudia hukumu yake ni nini?

Sijui.

Tuache sheria ifuate mkondo wake na kama hana hatia basi aachiwe huru na jamii impokee kwa mikono miwili.

Kuna aliyezuia sheria kutofuata mkondo wake? Kama yupo mtaje.
 
Eti jamani sasa kama ushahidi haujakamilika na hatakiwi kujibu chochote.Kwanini walipanga kesi isikilizwe leo.msaada tafadhari
 
Back
Top Bottom