Hivi hako katumbo hana mimba kweli ya Kanumba?
![]()
Mtoto mzuri, nguo zimempa heshima, amepungua umbo , lakini tumbo................[/QUO
huyu mtoto ana mimba nini ?
Uji na maharage ya jela unapata kitambi faster.Hivi hako katumbo hana mimba kweli ya Kanumba?
Unachezeya maharage ya selo wewe!!!![]()
Mtoto mzuri, nguo zimempa heshima, amepungua umbo , lakini tumbo................
Ona anavyopendeza kwa kuvaa nguo za heshima!!! angekuwa hivi kweli mabazazi si wangempitia mbali..... too late !!
Kakikuwa kataacha.
Kalijiingiza mjini kwa pupa na kalikuwa katukutu hakasikii la muazini wala la mteka maji msikitini.
Ngoma ikivuma sana hupasuka.