lulu karudi, tembeeni na helmet

lulu karudi, tembeeni na helmet

mmh... Hilo nalo neno.... Unaweza sikia Donn kapotezwa kwa kusukumwa na Kipipi .... Ngoja nijihadhari tu
Donn we acha tu . . . .humu duniani kuna njia nyingi sana mpendwa wangu na dhahma hazipiti na miti bali binadamu. Roho yaniuma sana kila nisikiapo kuhusu hiyo habari. Tuombeni dua tu Allah atulinde sisi sote na vizazi vyetu pia!!!
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    7.5 KB · Views: 22
  • image.jpg
    image.jpg
    47.1 KB · Views: 23

Similar Discussions

Back
Top Bottom