Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

na ndio tanzania yetu maana ukishakufa unakosa thamani na hii ndio inatokea kwa marehu stiven kanumba hana haki tena hata kama aliuliwa kwa makusudi basi inaoneka ni bahati mbaya
 
hajaachiwa bado
masharti ya dhamana ameshapewa but hajatekeleza hadi muda huu.
title iwe Lulu akubaliwa dhamana akitimiza masharti
 
Hata hivyo hakuwa na kosa anayetakiwa kuwa mahabusu ni kanumba. Maake alikuwa anatembea na vitoto hivyo vichafu. Lakini hata amejifunza sitegemei kumuona mtaani akifanya uchafu wake katika jamii. Hili tu ni fundisho kwake na inabidi aende shule aachane na maisha ya ukahaba ukiwa ma umri mdogo.
 
wacha apumue
bado kajala sasa

Atapumua vipi wakati kwa muda aliokaa sero lazima UTAMU utakuwa umeongezeka na watu watakuwa wanapanga foleni kumpumulia. We fikiria jamaa linene kama lile na Nyasa kumlalia mtoto kama yule under 18, atapumuaje??
 
jamani dhamana Lulu hawezi kukosa atapata tu mbona wanaume wengi ni mabwenge watajitokeza tu kumpa dhamana ili waendelee kuvinjali
 
Atapumua vipi wakati kwa muda aliokaa sero lazima UTAMU utakuwa umeongezeka na watu watakuwa wanapanga foleni kumpumulia. We fikiria jamaa linene kama lile na Nyasa kumlalia mtoto kama yule under 18, atapumuaje??

huko sero mbona kunajamaa aliniambi walikuwa wanapumua kama kawaida nasikia alikuwa anaishi maisha tofauti na mahabusu wenzake maana wakuu wengi walikuwa wanenda kupumua naye kama kawa
 
Amepewa dhamana leo kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia




267737_145106902232939_100002008907798_288790_4129350_n+%25281%2529.JPG
 
Posted- Jumatatu,Januari28- 2013- saa 12:34 PM
KWA UFUPI

Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) apata dhamana, wadhamini wawili watakiwa kuwa na Sh20m kila mmoja.
Kwa habari zaidi ungana na Mwananchi baadae.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom