Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

Hiyo ni bei ya private room, achilia mbali matibabu binamu, sio mchezo... hospital yenyew c mchezo, sio kina kajamba nan wakizalia aga khan wanajiona ma don

Aga khan ndio excutive hospital hapa Tanzania.. mpinzani wake ni muhimbili tu. Sababu pia wana vip service ambayo ni expensive sana.

Aga khan huwez ifananisha na hospital yoyote hapa Tanzania.. ukitoa muhimbili
 
Aga khan ndio excutive hospital hapa Tanzania.. mpinzani wake ni muhimbili tu. Sababu pia wana vip service ambayo ni expensive sana.

Aga khan huwez ifananisha na hospital yoyote hapa Tanzania.. ukitoa muhimbili
Acha uwongo mkuu
 
Dar ndio Tanzania.. kama kuna hospital yeye miundo mbinu kuliko muhimbili ama agakhan dar itaje.. narudia tena aga khan dar na muhimbili ndizo zina lead kila kitu
Dar sio Tanzania wengi mnaoishi humo ni machokoraa na omba omba Kuna bugando Kuna seliani Kuna kcmc n.k
 
Freshman tembea uone mengi cio kujifungia hpo kariakoo

Binafsi nimefika mpaka apollo health city. Sijajifungua kariakoo..ndio maana nikakuuliza bugando na kcmc wanazizidi muhimbili ama agakhan dar kwa lipi? Hili swali bado hujanijibu. Unahamisha mada.. badala ya kujibu swali kwanza
 
Hiyo ndio maana halisi ya "mke bora" anaejua privacy anaejua nn chakuweka public

nini cha kutulia nacho ndani, huwa sipendi hata wanaoanika vitumbo vyao public

yani mtu hata mtoto hajatoka unaanza ringishia watu tumbo,Lulu kawa mkubwa "kichwani"
Utakuja kumkataa uyo bakiza maneno
 
Kumbe alifunga ndoa akiwa tayari ana mimba ya kama miezi 2 hivi..
Alingalia kwanza kama shamba lina rutuba
 
Mapito gan sasa

Lulu alikua ni kaschana tu kajinga


Hakuwah fanyishwa mapito.

Ni mapuuzi tu ambayo vischana viaivyojielewa huwa vinafanya.



Baaadae huko akikua akili ndo anarudi kwenye reli.
Aliyoyapitia Lulu kama ungekua wewe ungeshajinyonga, acheni chuki za kijinga nyie wavulana wa jf yaan huu uzi ukiusoma wavulana ndio mmecomment kwa chuki sana,

Tafuteni hela acheni kusambaza chuki kwa mtoto wa mwanaume....
 
Kumbe alifunga ndoa akiwa tayari ana mimba ya kama miezi 2 hivi..
Mimba ya Miezi 4 sio 2
 
Back
Top Bottom