Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

Siasa ni kazi sana mkuu


Amesimamia sheria gani? URBAN PLANNING ACT 2007 PART IV(c) section 15(2): a land holder may prepare a detailed planning scheme on his land notwithstanding that a detailed planning scheme has been prepared by the planning authority in respect of that land so long as it conforms to general planning scheme.

Abadili hiyo sheria kwanza?
Ndio itakavyokuwa. Kuna changes itabidi zifanyike kwenye sheria zetu kabla ya kuruhusu hilo. Lakini nini maana ya 'bei elekezi?'Dhana hiyo ya bei elekezi Inapingana vipi na kifungu ulichokileta?
 
M
Huyu Mh.majuzi tu akizindua bodi ya wapangomiji alinukuliwa akisema maafisa Ardhi wa serikali wanaiba viwanja hivyo itabidi kazi za kupima viwanja vifanywe na makampuni binafsi. Leo kageuka tena mashamba yapelekwe halmashauri kwa maafisa walewale waliowatuhumu. This isn't serious at all.
Anasema kiwanja kinapimwa kwa elfu mbili then watu wanauza mil 27. Mh. Waziri yupo serious kweli nimtumie elfu 2 maafisa wake akanipimie kiwanja changu hapo Kongowe.
Mkuu, rudia tena kumsoma Waziri Lukuvi. Una hoja, sikatai lakini Msingi wa hoja yako unatokana na KUTOMWELEWA Mhe
 
Kwani hizo bei elekezi lazima zifuatwe au zitakuwa tu ni elekezi ya gharama katika maeneo husika?
Kwa uelewa wangu sizani kama serikali ina uwezo wa kukupangia bei ya kuuza bidhaa yako kwenye mfumo wa soko huru, the best they can do ni kutoa bei elekezi.
Hata pepsi kwenye kizibo chake kuna bei elekezi ya sh.500 ila kuna baadhi ya maeneo inauzwa sh 3000.
Ndio itakavyokuwa. Kuna changes itabidi zifanyike kwenye sheria zetu kabla ya kuruhusu hilo. Lakini nini maana ya 'bei elekezi?'Dhana hiyo ya bei elekezi Inapingana vipi na kifungu ulichokileta?
 
Lukuvi ndio waziri makini pekee katika serikali ya awamu ya tano.Wengine wote wauza sura.
 
Hakuna kiwanja ambacho hakinunuliki labda kiwe hakiendani na bei hiyo! We uliyeshindwa kununua kiwanja una shilingi ngapi na unataka ununue wapi?! Nilionya kuwa taifa linarudi kwenye ujamaa kiaina.! Huu ni mfumo wa hovyo kabisa!
Acha ubabaishaji. Wewe hujui masuala ya uchumi na uongozi wa nchi. Pole sana kwa maamuzi ya Waziri kwa sababu unaonekana ni mhanga mmoja wapo.

Hata majangiri hulalamika wakibanwa. It's shameful.
 
Mh. Lukuvi anafanya kazi vizuri sana hao wizara zingine wangeiga kwake mambo yangenyooka sana...
 
Siasa ni kazi sana mkuu


Amesimamia sheria gani? URBAN PLANNING ACT 2007 PART IV(c) section 15(2): a land holder may prepare a detailed planning scheme on his land notwithstanding that a detailed planning scheme has been prepared by the planning authority in respect of that land so long as it conforms to general planning scheme.

Abadili hiyo sheria kwanza?
Kazi kweli kweli mkuu
 
Kwetu tunasema unajificha kwenye shamba la karanga, utaonekana tu. Serikali ipime viwanja kwa vingi then iviuze kwa bei elekezi. Kuwe na system ya kudhibiti wanaonunua viwanja vya serikali ili kuzuia watu kujilimbikizia viwanja vya bei elekezi.Supply ikiwa kubwa na demand ni ndogo watu binafsi watakosa soko na itabidi washushe bei za viwanja vyao. Otherwise, hakuna jinsi unavyoweza kuzuia mtu kuuza kiwanja chake kwa bei ya soko. Willing buyer and willing seller.
 
Ada elekezi kwa shule binafsi zimefikia wapi? Hizi shule zinatoza ada km serikali ilivyoelekeza? Na serikali imefanikiwa kwa kias gan ktk hili? Bila kusahau bei elekezi za sukari


Bei elekezi ni muhimu itasaidia mwananchi wa chini kupata kiwanja kwa bei nafuu hasa kwenye miji mikubwa kama DAR. Lakini tukumbuke kwamba hii misingi ya biashara huria na kila mtu kufanya biashara holela bila kuwa na uthibiti imeasisiwa na wao wenye hivyo imekuwa ni mfumo wa maisha ya watu japo sio sawa sasa kazi ya kuondoa mfumo huu sio ndogo.
Wasije waka kurupika kama kwenye sukari ambapo mpaka leo hii sukari inazidi panda bei licha ya wao wenyewe kutumia fedha nyingi kuagiza sukari kutoka nje.
 
Hizi serikali za Afrika kila kukicha sera mpya....kama anataka kushusha bei za viwanja serikali ipime viwanja vingi uza kwa bei nafuu uone kama kuna mtu atakwenda kununua kwa waru binafsi katika hali kama hiyo hata watu binafsi watashusha bei zao. Haiwezekani leo jana mnasema tunataka soko huria halafu matokeo ya soko huria hamuyapendi kama mnataka turudi kwenye ujamaa ambapo serikali inapanga uchumi wa nchi na kutoa "bei ilekezi" katika kila kitu basi msiwe waoga semeni leo. Hizi siasa za bei rahisi za kufurahishana kwenye kwenye uongozi si nzuri. Kila kukicha sharia na sera zinabadirika ina maana hao watunga sera na sharia hawakuwa na maono ya madhara yake, inasikitisha sana hizi nchi zetu. Badala ya kuingilia kimabavu shughuli za kiuchumi tumieni mbinu za kiuchumi kufikia malengo yenu demand and supply rule kwa mfano haswa katika swala hili la bei za viwanja. Mh Lukuvi kwa hili unachemka, hebu wataalamu ingilieni kati hapa, mengine haya hayataki mabavu ni uelewa tu. Mlianza bomoa bomoa oh mita 60 haya kiko wapi wamekuja wataalamu wakawakumbusha ukweli wa mambo hayo mkaacha, sasa sukari, soon itakuwa hili la ardhi, au mpaka wakubwa zetu wa Magharibi waje watuelekeze tena jinsi ya kujitawala. Maana ndiko tunakoelekea na hili.
 
Akijibu maswali bungeni kuhusu wizara ya ardhi na makazi, Wiliam Lukuvi amesema wapo watu na makampuni yanaoingia mikataba na wapimaji binafsi wa viwanja kisha kuviuza kwa bei ambazo hazinunuliki, kwa hiyo wizara yake itajikita kutoa bei elekezi ya upangaji wa bei za viwanja, ili watu wasijiuzie wanavyotaka.

Pia amezungumzia makampuni yanayonunua mashamba na kuyageuza kuwa viwanja, suala ambalo amesema halikubaliki.

Msikilize zaidi hapa


Mhe anakoelekea nj kuingilia biashara binafsi za watu
 
Siasa ni kazi sana mkuu


Amesimamia sheria gani? URBAN PLANNING ACT 2007 PART IV(c) section 15(2): a land holder may prepare a detailed planning scheme on his land notwithstanding that a detailed planning scheme has been prepared by the planning authority in respect of that land so long as it conforms to general planning scheme.

Abadili hiyo sheria kwanza?
Kwani kuna kipi cha kubadili hapo?isome tena kwa makini NOTWITHSTANDING THAT...a detailed plan has been prepared the PLANNING AUTHORITY.

Sasa PLANNING AUTHORITY ndio Halmashauri na wizara ya ARDHI, wakiishakubali kuwa hiyo ardhi ni SHAMBA huna namna hapo unless waseme otherwise.

Na suala la bei elekezi linazuiwa vipi kwenye kifungu hicho?hakuna.
 
Hakuna kiwanja ambacho hakinunuliki labda kiwe hakiendani na bei hiyo! We uliyeshindwa kununua kiwanja una shilingi ngapi na unataka ununue wapi?! Nilionya kuwa taifa linarudi kwenye ujamaa kiaina.! Huu ni mfumo wa hovyo kabisa!
UPI NI MFUMO WA HOVYO?
 
Ninachojua mimi ni kuwa serikali ndiyo inamiliki ardhi ya Tanzania. Sasa hawa wanao uza wameipata wapi?
 
Tatzio la serikali hii ni kuingilia mambo ambayo hawayuhusu na vile vinavyowahusu hawafanyi. Tuache soko huria lifanye lile watakalo. Hapa ni janja ya wachche kutaka kukwapua mali kwa bei chee kwa mgongo wa elekezi.
binadam sio kiumbe wa kuachwa afanye atakavyo,soko huria ni ngendembwe za kibepari,hata wao hawaach huria kiasi hcho
 
Sikubaliani na LUKUVI kuhusu hili, Biashara ya viwanja ni biashara kama nyingine, aache iwe huru, hata kwenye sukari walianza hivi hivi mwishowe wakaanza kusaka waficha sukari, tuangalie wasije wakaanza kusaka wanaoficha viwanja!
 
Ameongea vizuri sana Lukuvi, lakin sasa kwa nin hayo mnayoyasema huwa hayaendi hivyo unavyosema? Shida huwa iko wapi mzee?
Ila kwa kweli huyu nadhan ni mtu sahihi sana pale Wizaran.
Jambo pekee ambalo nadhan ccm wamefanikiwa nchi hii ni kuilinda ardhi yetu na matajiri, japokuwa kulinda kumegeuka kutukosesha mipango miji ya kisasa, ila bora iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom