Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Serikali italiwezahilo kwenye viwanja vyake inavyopima tu.
Siwezi kununua eneo langu kwa bei yangu,nikapima kivyangu akaja mtu anaeitwa serikali kunioangia bei ya kiwanja au nyumba yangu.
Serikali ilitakiwa ipime na kujenga nyumba kwa ajili ya raia wake na ziada,kwa kushindwa hilo,watu wanapima na kujenga kwa gharama zao ambazo hata mafundi hawana bei elekezi,wao wanashindwa nini hadi waje kunipangia mimi.
Shirika lao la nyumba linajenga na kuuza kwa gharama mara mbili,na kama lingekuwa linatoa tu huduma basi mji ungekuwa haujafika kibamba na kusingekuwa na "skwata".