Watu
Platinum Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,472
Mtu ukiwa na shamba lako unakabidhi halmashauri kwa sheria ipi. Halmashauri ikitaka shamba lako ni lazima wakulipe fidia. Hayo mambo ya kurudisha halmashauri ni utopian
Nadhani ameteleza ulimi, kama ile aliyosema process ya kupata hati ni wiki 2?