Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi hana Elimu ya juu...lakini ni mtu mwenye busara na uzoefu wake katika uongozi umemfanya kuwa bora kuliko hata baadhi ya wasomi wanaojisifia usomi wao.....

so Lukuvi think one day he'll be a president of this republic eenh!? Tell him to go down and fnck the floor.
 
kuwa wazi bro hebu tupe japo mifano miwili tu ya ubora wake na faida zake kwa watanzania!!

Kama wewe hauoni mchango wake kama mtu mwenye elimu ndogo basi you are very biased na tayari you have emotionally agree to disagree!
 
Samahani hapo kwenye red ndugu yangu, CUF?umeshawai kusikia mpinga hoja CCM wakamuita CUF wanasema huyu CHADEMA tu maana ndiyo wanaowanyima usingizi sasa
nimekubali , ha ha ha ha ama kweli wewe ni mchokozi sana ha ha ha !!
 
siasa kweli ni usaniii .........kuna mama yule mjumbe wa kamati kuu pindi chana wanamwandaa kuchukua jimbo 2015 ....fikilikunjombe wamemtosa hata ujumbe wa NEC Ludewa imagine hata kwenye majina yale walimkata ......kiufupi jamaa mwisho wake 2015 kwa ndani ya ccm ......na yeye anajua kwa hiyo akheri tu awalipue ......mi nahisi jamaa atagombea chadema 2015 ....
 
so Lukuvi think one day he'll be a president of this republic eenh!? Tell him to go down and fnck the floor.

Who said Lukuvi will be a president? By the way,education has nothing to do with presidency according to our prevailing constitution!
 
Kaongee ----- huu na familia yenu.......mchumia tumbo wewe

Hayo ni maoni yangu binafsi...kwa jinsi navyomfahamu mhusika...you cant coerce me to think the way you do....sijakulazimisha if you think sivyo potezea and have it your own way!
Mie ni mpenda mabadiliko lakini sio muongo....Huyo msomi First Class Nchemba na Lukuvi who is better of?
 
Kwa hiyo wabunge wako bungeni kuwawakilisha na kuwasemea matatizo wale waliowapigia kura peke yake!!. Duh.

Hapana, Ni pamoja na kudai posho za vikao ziongezwe, Mjadala yote inayohusu maslahi ya wakubwa inapigwa chini, kutetea pesa za kupeleka uswis, kuongeza uwekezaji nchini kwa mikataba ya sirisiri, kujibu hoja potofu za upinzani, kuanza kwa kukosoa na kuponda hoja mkono halafu kumalizia kwa kuunga hoja mkono pamoja na kuhakikisha chama kinabaki madarakani milele.
 
Sisi Wananchi wa Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe bila kujali yuko Chama gani, na hata akihamia CHADEMA au CUF sie tunamfuata yeye kwani ni kijana shupavu na tena ni mtu ambaye yuko huru kifikra
SS nyie CCM hamtaki aseme ukweli? mnalazimisha awe km nyie? ye hataki madhambi yatendwayo na CCM, DEO KIPENZI CHA WANALUDEWA NA NJOMBE ENDELEA KUWA IMARA
 
Hata wakimsema, Huyo ni jasiri wa kutetea wananchi wake na watanzania kwa ujumla. Huenda ukipima kwa upande wa CCM jimbo ambalo litapata ushindi bila kuchakachua ni kwa DEO. Hivyo wanapaswa kujipima na yale anayosema na sio kufyonza na kutupia mbali hoja zake. Hata hivyo anawashangaa viongozi ambao kwa katiba ya nchi hii walalishwa na kutunzwa mpaka kuzikwa halafu wanaficha mamilioni ya fedha nje ya nchi. watazifanyia nini kama si kuwarudisha nyuma watanzania maskini?
 
Who said Lukuvi will be a president? By the way,education has nothing to do with presidency according to our prevailing constitution!

I didn't mention his education but him.
 
Hili ni tatizo jingine kubwa la CCM,hawaruhusu fikra huru ndani yao,sikuzote wanataka wakushike akili.
 
ila namuonea huruma sana filikunjombe, maana hata horace kolimba ilianza hivi baadaye usalama wa taifa ukafanya kazi yake kama kawaida

hao waliofanya kwa kolimba hawawezi tena fanya mambo haya
 
safi sana Filiku Njombe...... whether wewe ni chadema/ccm ..haijalishi!
 
Waondiyo wanajua na wanamwandaa PINDI CHANA KUCHUKUA JIMBO LA kijana wa watu DEO FILIKUNJOMBE. DEO endelea kuwa moto, siku zote watu waovu hukimbia hata watoto wao. Wasira alishadai ESTA Bulaya ni CDM.

Kwa hiyo wasema kweli wote ni CHADEMA kinyume chake ...

Deo najua watakuengua 2015 kwa kosa la kutokua mnafiki na mwenye misimamo thabiti,utakua ni wakati wako muafaka kuwa mbunge kupitia CDM,hawana uwezo wa kukushinda una mtaji mkubwa sana jimboni
 
Hii dhana potofu ndani ya ccm itakoma lini? Ukipinga kwa hoja unaitwa wewe CHADEMA au CUF
Mkuu, wanaopanga kwa hoja hua sio sisiem ni CDM, viongozi wa magamba na serikali nao wanalijua hilo, kwa maana nyingine wanaongeaga wakizishirikisha na akili zao ni CDM, wao magamba hua ni kutukana tu, kwani hujui Nape na Mwigulu kwanini nyota zao zinang'aa huko magambani? au kwanini walimchukua Juliana Shonza na Mwampamba, sifa ya kupata cheo ccm ndio hiyo na sio kujenga hoja, Mwigulu si Economist tena ana Masters? linganisha sasa the way anavyoongea na elimu yake! Ninahakika Deo Filikunjombe 2015 atahamia kwa wenzie wanaotumia akili na sio masaburi kufikiri!
 
Hakuna kitu cha ajabu hapo.... ukiwa kwenye kundi la mbwa mwitu... halafu ukalia kama mbuzi.. yaani (meee) lazima wakuraruwe!!!
 
Mkuu, wanaopanga kwa hoja hua sio sisiem ni CDM, viongozi wa magamba na serikali nao wanalijua hilo, kwa maana nyingine wanaongeaga wakizishirikisha na akili zao ni CDM, wao magamba hua ni kutukana tu, kwani hujui Nape na Mwigulu kwanini nyota zao zinang'aa huko magambani? au kwanini walimchukua Juliana Shonza na Mwampamba, sifa ya kupata cheo ccm ndio hiyo na sio kujenga hoja, Mwigulu si Economist tena ana Masters? linganisha sasa the way anavyoongea na elimu yake! Ninahakika Deo Filikunjombe 2015 atahamia kwa wenzie wanaotumia akili na sio masaburi kufikiri!

Deo Filikunjombe kawaambia wabunge wa ccm wasiingilie kazi ya Nape ya uvuvuzera
 
Back
Top Bottom