Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Hili jembe Filikunjombe, naamini litajiunga na jeshi la ukombozi ifikapo 2015, kwani ccm hawatakubali kumpitisha kwenye kura za maoni kuwa mgombea wao. Hii itakuwa karata rahisi sana kwa CHADEMA kuchukuwa jimbo hili. Keep it up Brother, tuko nyuma yako!
 
Lukuvi ni janga la taifa...filikunjombe Nungu akutangulie..kwa ccm wewe pekee ndio msafi maana akina magufuli na mwakiyembe wamesha nunuliwa na mafisadi..hongera kamanda filikunjombe.
 
Ila namuonea Huruma sana Filikunjombe, Maana hata Horace Kolimba ilianza hivi baadaye Usalama wa Taifa ukafanya kazi yake kama kawaida
Wewe kuku anaweza kukushinda akili, ni nani anyeogopa kungolewa meno? Ke nge sana wewe
 
Kwa hiyo Kikwete ni Rais wa wananchi ambao walimchagua tu? Katika demokrasia alieshinda ndie aliechaguliwa....na hakuna tena wa kusema sikuwepo...sikumchagua....kidemokrasia tunasema waliomchagua!

Mi sikumchagua kwte
 
Lukuvi na vyeti fake atamwambia nini ak 47 deo filikunjombe mbunge wa taifa.vilaza mbona tunawajua wa ccm.
 
nasubiri Spika nae siku moja aamke awe kama Mpina ...............tutapiga hatua
 
Hivi huyu Lukuvi ndiyo yule form two leaver? Duu! kazi kweli kweli.
 
Kwa hiyo wabunge wako bungeni kuwawakilisha na kuwasemea matatizo wale waliowapigia kura peke yake!!. Duh.

Nafikiri mbunge anawawakilisha wananchi wa jimbo lake wote, maana mbunge hawajui wote waliompigia kula, kwa maana kula ni siri ya mtu.
 
Hii inadhihirisha kuwa ccm hawana mpango wa kuheshimu 'demokrasia' tanzania hii.
Sasa kama chama cha mapinduzi kinaamua kumzushia mbunge wao kuwa ni mpinzani kisa ametoa mawazo yake kwa utaratibu wa demokrasia tena yenye nia njema.

Mizengo Kayanza Peter Pinda umenishangaza pia alivyotoa maneno yenye minajiri ya kumtisha Filikunjombe kisa amegoma kuunga mkono hoja.
 
Ninafarijika sana, na ninawapongeza viongozi na makamanda wote wa Chadema kwa kazi wanayofanya. Leo CCM wenyewe wanakataana na kuitana Chadema kazi nzuri sana. Lukuvi anajua wazi hakuna mwanaCCM gamba anaweza kuwatetea watanzania mpaka awe na damu ya chadema hili ni kweli kabisa huwezi kutenda haki ndani ya CCM haiwezekani.

Wako kina Deo wengi sana ndani ya CCM, akina deo ushauri wangu ni huu mnaweza kuja zizini au kuendelea kuishi huku na manyang'au ila mioyo yenu iliwa na wananchi na kuhakikisha kabisa 2015 ni mwisho wa hao wanayapara. Mkifanya kazi nzuri huko ya kuibomoa CCM ndani tutaingia nchi ya ahadi haraka sana.
 
filikunjombe ni mbunge anaye jua sana maisha ya mtanzania halisi...na ccm wakikuzingua,CHADEMA milango iko wazi..
 
Back
Top Bottom