Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Kwa hiyo wabunge wako bungeni kuwawakilisha na kuwasemea matatizo wale waliowapigia kura peke yake!!. Duh.
Utaratibu wa kura zetu ni wa majority votes, so unapotokea kushinda katika uchaguzi ni automatically umechaguliwa na wananchi. Na haimaanishi kwamba waliokupigia kura tu bali the majority na unakuwa na jukumu kwa wananchi wote bila kujali kama ulipigiwa kura or not. Vivyohivyo, mtu anaposema anawatetea wananchi waliomchagua, hamaanishi waliompigia kura, bali ni ile dhana ya kwamba yupo bungeni kuwawakilisha wananchi waliomtuma huko ambao ni wote, bila kujali aliyepiga kura au ambaye hakupiga. Anayoongea Deo bungeni hayawahusu wananchi wa Ludewa tu, bali watanzania wote.
 
mtasema mengi mnataka awe chizi kama mwigulu machemba
 
Filikunjombe ni mbunge anayejitambua na anajua wajibu wake. Tungepata wabunge wengine wa aina yake kama 20 tu kutoka ndani ya CCM wangeweza kuinyoosha nchi. Asiwe na wasiwasi hata CCM wakimtimua. Agombee jimbo lolote Dar es Salaam kupitia upinzani tutampa kura zetu. Hawa wabunge lazima watangulize mbele maslahi ya nchi badala ya maslahi ya chama. Big up Deo Filikunjombe!
 
Utaratibu wa kura zetu ni wa majority votes, so unapotokea kushinda katika uchaguzi ni automatically umechaguliwa na wananchi. Na haimaanishi kwamba waliokupigia kura tu bali the majority na unakuwa na jukumu kwa wananchi wote bila kujali kama ulipigiwa kura or not. Vivyohivyo, mtu anaposema anawatetea wananchi waliomchagua, hamaanishi waliompigia kura, bali ni ile dhana ya kwamba yupo bungeni kuwawakilisha wananchi waliomtuma huko ambao ni wote, bila kujali aliyepiga kura au ambaye hakupiga. Anayoongea Deo bungeni hayawahusu wananchi wa Ludewa tu, bali watanzania wote.
Mkuu Lukolo , nimekuelewa lakini Mbunge makini hawezi kusema anawatetea wananchi waliomchagua. Haya ni makosa kisheria, vile vile ni makosa kisiasa.

Vitu kama hivi tunavyoviona kama havina maana ndiyo vinajenga mazoea ya kutenda jambo kimakosa na kutoa utetezi kwa kusema "si ujumbe umefika".

Kumbuka kesi ya Mh. Godbless Lema ilileta marumbano kisheria ya maana ya uwakilishi wa mbunge kwa wananchi sababu kama mbunge anawakilisha wananchi wa Tanzania, vipi kama huyo mbunge wa jimbo fulani atashitakiwa na wananchi wa jimbo jingine kuhusiana na utaratibu wa zoezi zima la uchaguzi kwa sababu ya title yake hiyo kwa sababu hao wananchi watakuwa affected na matokeo ya uchaguzi pamoja na kwamba hawako kwenye jimbo hilo la uchaguzi.
 
Kwa hiyo yeye michango yake ni kwa wananchi waliomchagua?. Duh. Vipi wale ambao hawakumchagua?.

Nimezungumza asubuhi kwamba ukitetea wananchi waliokupeleka mjengoni, matarajio ya kuchaguliwa tena yanakuwa makubwa. Ukitetea maslahi ya nchi matarajio hupungua hasa ktk kipindi hiki ambapo mwananchi anaambiwa uchumi unakuwa wakati hakuna ajira, watoto wamefeli na maisha kwa ujumla yanazidi kuwa ghali.
 
Lukuvi hana Elimu ya juu...lakini ni mtu mwenye busara na uzoefu wake katika uongozi umemfanya kuwa bora kuliko hata baadhi ya wasomi wanaojisifia usomi wao.....

Kaongee ----- huu na familia yenu.......mchumia tumbo wewe
 
Suti kweli....kwani Watu kama Filikunjombe na MPINA mbunge wa kisesa kusema ukweli ni cdm?
 
kweli wanajuana, nataka kujua baada ya kutamka hivyo maswali gani yalifuata(kutokana na jibu hilo) na alijibu nini. Au ndio wale waandishi wetu feki?
 
Lukuvi hana Elimu ya juu...lakini ni mtu mwenye busara na uzoefu wake katika uongozi umemfanya kuwa bora kuliko hata baadhi ya wasomi wanaojisifia usomi wao.....

hapo kwenye red ndio ujinga wake ulipo
 
Kwa hiyo yeye michango yake ni kwa wananchi waliomchagua?. Duh. Vipi wale ambao hawakumchagua?.
Waliokuchagua kwanza kabla ya blah blah za national politics.
Ndio maana ya kuwa Mwakilishi wa jimbo.

First things first.
Usijitoe fahamu.
 
Mkuu Lukolo , nimekuelewa lakini Mbunge makini hawezi kusema anawatetea wananchi waliomchagua. Haya ni makosa kisheria, vile vile ni makosa kisiasa.

Vitu kama hivi tunavyoviona kama havina maana ndiyo vinajenga mazoea ya kutenda jambo kimakosa na kutoa utetezi kwa kusema "si ujumbe umefika".

Kumbuka kesi ya Mh. Godbless Lema ilileta marumbano kisheria ya maana ya uwakilishi wa mbunge kwa wananchi sababu kama mbunge anawakilisha wananchi wa Tanzania, vipi kama huyo mbunge wa jimbo fulani atashitakiwa na wananchi wa jimbo jingine kuhusiana na utaratibu wa zoezi zima la uchaguzi kwa sababu ya title yake hiyo kwa sababu hao wananchi watakuwa affected na matokeo ya uchaguzi pamoja na kwamba hawako kwenye jimbo hilo la uchaguzi.

Wananchi wa Ulanga kwa Mfano wana athirika vipi na Matokeo ya Ubunge wa Arusha? Acha kuchanganya mambo wewe, hoja yako iwe Mbunge yoyote ni Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwahiyo ni mbunge watanzania wote, lakini kwenye maswala ya uchaguzi majimbo yanajitegemea, huwezi toka ulanga ukaja kupinga matokeo Arusha mjini ambako wewe hata hujaandikishwa kama mpiga kura! Usipotoshe maamuzi ya Mahakama ya Rufaa.
 
Demokrasia ya wapi hiyo?.

Hawa ni wawakilishi wa wananchi na siyo wawakilishi wa wananchi waliomchagua. Hii tofauti ina maana kubwa sana katika demokrasia ya kweli.

Haya ni maneno ya ujumbe wa Botswana kwa nchi ya Kenya in Kiswahili..
"Tuna ahidi kushirikiana na serikali yako kwa kuwa wananchi wa kenya ndio waliokuchagua na kuanzia sasa wewe ndiye Rais wao"
 
Back
Top Bottom