Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

Lukuvi ni janga la taifa...filikunjombe Nungu akutangulie..kwa ccm wewe pekee ndio msafi maana akina magufuli na mwakiyembe wamesha nunuliwa na mafisadi..hongera kamanda filikunjombe.

Ukweli ni kwamba Filikunjombe amekwenda jomboni kuwakilisha jimbo lake, ila wenzie cc-amnesia wamekwenda kuwakilisha matumbo yao, sasa ukileta hoja za kuwatetea wananchi, huo si mtazamo wa cc-amnesia, ndio maana huyu aliye-Pinda akili anamtisha kwa sababu wamezoea enzi zileeee... unatoa hoja inapita bila kuchujwa ...
 
Akihojiwa asubuhi hii na kituo cha redio cha Ebony FM mkoani Iringa juu ya maneno ya Mh. Deo Filikunjombe juu ya wabunge kuingilia kazi za Nape Nnauye, alohoji: "Unamaanisha mtu wao?" (akimaanisha wa CHADEMA), kisha akasema "sisi ndio tunajuana vizuri mle ndani".

wakimwita kwenye vika vyao vya kinafiki akatae kutumia mic wala asinywe maji yao maana duh!
 
Back
Top Bottom