Lukuvi akwepa mdahalo na Lissu

Lukuvi akwepa mdahalo na Lissu

Waziri Lukuvi amekataa kushiriki katika mdaharo ulioandaliwa na asasi moja juu ya kilichojiri Bungeni kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya.Mdaharo huo ambao ulipangwa kufanyika Jumapili kuanzia saa Saba mchana hadi saa Kumi na mbili jioni ungewashirikisha Waziri Lukuvi na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bwana Tundu Antipasi Lissu.Katika maelezo yake ya kwanini hatashiriki kwenye mdaharo huo Waziri Lukuvi alidai kuwa hana taarifa kutoka ofisini kwake juu ya mwaliko huo kwasababu alikuwa ziarani mikoani kwa shughuli za kikazi na kwamba anapanga kuelekea Mkoani Iringa leo kama mwendelezo wa ziara zake za Mikoani za kikazi.

Nimeamini unabiii sio kuoteshwa ila huwa ni "Les ipsa loquitor" (Things speak for themselves) yaani m(j)ambo yanajieleza yenyewe. Nilisema tangu awali kuwa haiwezekani Lukuvi akapambanishwa na lisu nae akakubali hii ni sawa na kumchukua Senga mwigizaji ukamchezeshe mieleka na Jonsina
 
Waziri Lukuvi amekataa kushiriki katika mdaharo ulioandaliwa na asasi moja juu ya kilichojiri Bungeni kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya.Mdaharo huo ambao ulipangwa kufanyika Jumapili kuanzia saa Saba mchana hadi saa Kumi na mbili jioni ungewashirikisha Waziri Lukuvi na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bwana Tundu Antipasi Lissu.Katika maelezo yake ya kwanini hatashiriki kwenye mdaharo huo Waziri Lukuvi alidai kuwa hana taarifa kutoka ofisini kwake juu ya mwaliko huo kwasababu alikuwa ziarani mikoani kwa shughuli za kikazi na kwamba anapanga kuelekea Mkoani Iringa leo kama mwendelezo wa ziara zake za Mikoani za kikazi.

Kazoea kufoji vyeti hawezi kukaa kwa masaa zaidi ya 3 ajenge hoja,huyo kazoea kuprovoke!!!!!!!!!!!!!
 
Waziri Lukuvi amekataa kushiriki katika mdaharo ulioandaliwa na asasi moja juu ya kilichojiri Bungeni kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya.Mdaharo huo ambao ulipangwa kufanyika Jumapili kuanzia saa Saba mchana hadi saa Kumi na mbili jioni ungewashirikisha Waziri Lukuvi na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bwana Tundu Antipasi Lissu.Katika maelezo yake ya kwanini hatashiriki kwenye mdaharo huo Waziri Lukuvi alidai kuwa hana taarifa kutoka ofisini kwake juu ya mwaliko huo kwasababu alikuwa ziarani mikoani kwa shughuli za kikazi na kwamba anapanga kuelekea Mkoani Iringa leo kama mwendelezo wa ziara zake za Mikoani za kikazi.

wadau JF. Naomba kuandika kwa kienglish sanifu. "where and where? kichuguu na mlima kilimanjaro vyaweza linganishwa? ni hayo tu kwa leo.
 
Serikali ilishashtukia midahalo inayoandaliwa na kwa udhamini wa WAPINZANI, halafu hata hivyo kama wana hoja si wangepingana naye bungeni kama siyo ushahidi tosha kuwa wanatumia media vibaya.

Mkuu naona huna hoja bora ukae kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha kwa kukurupukia kila hoja, je midahalo ya 2010 ilipoandaliwa na taasisi ya serikali TBCCm mbona wagombea wote wa magamba walikimbia?ifike sehemu midahalo iwe part and parcel ya wagombea wote ili watanzania tuweze kufahamu watu kiundani, cyo propaganda za kuchagua watu wa kukuuliza maswali.
 
Hii ni kwa waandaaji wa Midahalo linapofika suala la kuwachonganisha maCCM na M4C ni vyema waka hide ushiriki wa M4C mpaka dakika za Mwisho ili kukwepa hii misele ya MCCM! Just ushauri tu! maana Hatutayapata MaCCM milele kwenye issue sensitive kama hizi
 
Hakuna serikali yoyote duniani inayoandaliwa midahalo na media zenye mwelekeo wa Upinzani, hata mimi ningeshangaa kuona Serikali inaingia mkenge kiasi hicho.

kwa maana hiyo ingeandaliwa na TBC angeshiriki sio? THUBUTU
 
Mimi nawaomba waandaaji waendeleee na mipango yao. Wazungumzaji waliopo tayari waitwe kuwafahamisha watanzania kilichojiri.
 
Kwani mdahalo ukiandaliwa na upinzani unayeyusha hoja? Hoja ni hoja tu bila kuangalia nani anaandaa mdahalo. CCM acheni woga fuateni ushujaa wa Ndugai
 
Lukuvi ni Smart sana, Kama angekuwa mjinga angekubali huo mwaliko wa kuumbuka. MiCCM imezoea kuhutubia sio mijadala au kuulizwa maswali
 
Acha kuropoka wewe. Yaani Lisu yuko vizuri kuliko Lukuvi? Mbona mnapenda kufananisha vitu ambavyo havipaswi kufananishwa. Lukuvi ni waziri tena mwenye mamlaka ya bunge. Anajua mambo mengi na ana vielelezo kuliko hawa waropokaji. Mbona siku ile alipotoa vielelezo bungeni wabunge wa chadema akiwemo Lisu hawakukanusha na badala yake wakaleta fujo ambazo zimewavunjia heshima?

Kwani kuwa waziri kuna kitu gani cha ajabu?Uwaziri unasomewa?Au uwaziri ni kipaji kutoka kwa Mungu?
Uwaziri ni uteuzi tu toka kwa raisi,kwa hiyo rais anaweza kumchagua yoyote yule kuwa waziri awe na sifa za uongozi au hana!
Halafu huyu Lukuvi si ndio aliyesema kuwa list ya wauza madawa ya kulevya haitatajwa kwa kuwa baadhi ya majina ni ya wabunge?Halafu useme huyu ni kiongozi?au wa drug lords?
Na bora amekimbia maana angewatia aibu wanaCCM wote!
 
bora hata ameamua kuachana na mdahalo huo, kwa sababu ukiangalia washirki wengine wa mdahalo huo utagundua kuwa ni wa kupangwa kwa makusudi ili kuishambulia serikali, safi sana, nani ambaye hajui kilichonyuma ya pazia kwa kuwashirkisha watu kama yule mkuu wa SAUT? ambao hamjui nitafuteni kwenye private niwamegee.
Itashambuliwa vp kama ina hoja,uovu haushindwi kama mapanga bali kwa mema,kama Lukuvi anahoja automatic atamshinda Lissu,muovu siku zote lake giza,mwambie aendelee kukimbia tu...
 
mfano mzuri ni huu ambao LUKUVI ameukataa, tayari ilishafamika kuwa miongoni mwa wataohusika moja kwa moja ni mkuu wa SAUT, yule CDM 100% au mtu kama LWAITAMA au KAKOBE wahudhurie mdahalo what do you expect? Tanzania hatuna taasisi za kuandaa midahalo, inabidi kwanza tulione hilo badala ya kukimbilia kuwa mashabiki tu.[/QUOTE]

Hapo kwenye blue sijaelewa vizuri mkuu. Kwani Mheshimiwa Lukuvu anakataa mdaharo sababu ya Panelists au Hoja zao? Nimeshindwa kuipata hoja yako vizuri, maana inaonekana kama wangekuwepo panelists ambao ni 100% CCM basi angehudhuria. Lakini nijuavyo ili mdaharo uwe na tija lazima ziwepo pande mbili zenye mawazo tofauti.Nafikiri angehudhuria ingekuwa kipimo kizuri kwa audience kuchambua nani anasema ukweli nani anadanganya.
 
Hakuna serikali yoyote duniani inayoandaliwa midahalo na media zenye mwelekeo wa Upinzani, hata mimi ningeshangaa kuona Serikali inaingia mkenge kiasi hicho.
Umejuaje kunamwelekeo wa upizani,kama mpo sahihi na matukio ya pale Bungeni kipi kiwaogopeshe kwenda kwenye mdaalo...
 
Viongozi wa serikali ya Ccm wanaingoza hii nchi kama waganga wa kienyeji, hawana hoja za kupambana na hoja, huwa wanapenda speech za upande mmoja, kama walivyo potosha wananchi ITV kuhusu kilicho tokea bungeni, Wasira, Lukuvi na dakika 45 sasa wameona Lissu anakwenda kuwapa ukweli wa kilichotokea bungeni, jamaa kaingi pori, hahahaaaaaa! Ccm bwana! inafurahisha sana
Pale kwa Semunyu dakika 45 ITV ccm wamepanga foleni na wengine wanafanya booking wanajua pale unatiririka tu hakuna cha simu wala kubanwa popote,uku kwenye midahalo au kwa Alfred Nasako hawaendi teh teh teh wanajua kuna MAKAA YA MOTO,umesahau ule mdahalo wa uchaguzi mapindi yale walivyokimbia...
 
Unaupeo finyu sana wa kufikiri, hasa hapo kibaya ni chombo kilicho andaa mdahalo au mdahalo ndio haramu kwenu? Hay fanyeni mpango Tido Muhando ndiye aandae mdaharo, member waangaliwe kwa sifa zao, huyu aliyeandaa aliangalia mdahimu wa serikali Bungeni na mnadhimu wa upinzani bungeni, sasa hapo shida ni nini? Unakaa unasifia vyombo vya nje, ccm ni mabingwa wa kukacha midaharo, mwaka 2010 tuliona, chombo kilikua TBC na mliishia kumfukuza kazi Tido Muhando na hi ilikua baada ya Batlida Buriani kudhalilika vibaya kule Arusha, aliyekua katibu mkuu wa magamba akapiga marufuku kabisa, kinachoifanya ccm kua madarakani ni ufinyu wa elimu ya uraia kwa wananchi wake, vinginevyo ccm ingekua inasomwa kwenye vitabu vya historia tu.
Mkuu midahalo ya wenzetu inakuwa so organized na inakuwa imeandaliwa na taasisi ambayo haifungamani na upande wowote, usifananishe midahalo hii na huu upup wa kitanzania ambao kwanza watu wanakaa na kutafuta namna ya kumkaanga mwingine na mnaletewa mtu kama R.K kuongoza mdahalo unategemea nini? mfano mzuri ni huu ambao LUKUVI ameukataa, tayari ilishafamika kuwa miongoni mwa wataohusika moja kwa moja ni mkuu wa SAUT, yule CDM 100% au mtu kama LWAITAMA au KAKOBE wahudhurie mdahalo what do you expect? Tanzania hatuna taasisi za kuandaa midahalo, inabidi kwanza tulione hilo badala ya kukimbilia kuwa mashabiki tu.
 
Sasa huko ni kukwepa au ni uzushi wako tu? Lukuvi ni Waziri anafanya kazi kwa ratiba. Hiyo asasi ingeomba kwa maandishi na kupata tarehe ambayo waziri ana nafasi ndio waandae mdahalo. Ati kwa kuwa wewe ni shabiki wa tundu lissu tu basi unataka anachotaka lissu kiwe basi kiwe muda uleule.
Hilo haliwezekani... Ombeni miadi na katibu wa waziri naye atamshauri waziri naye ataafiki au kukataa...
Waziri Lukuvi amekataa kushiriki katika mdaharo ulioandaliwa na asasi moja juu ya kilichojiri Bungeni kuhusiana na mchakato wa Katiba mpya.Mdaharo huo ambao ulipangwa kufanyika Jumapili kuanzia saa Saba mchana hadi saa Kumi na mbili jioni ungewashirikisha Waziri Lukuvi na Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bwana Tundu Antipasi Lissu.Katika maelezo yake ya kwanini hatashiriki kwenye mdaharo huo Waziri Lukuvi alidai kuwa hana taarifa kutoka ofisini kwake juu ya mwaliko huo kwasababu alikuwa ziarani mikoani kwa shughuli za kikazi na kwamba anapanga kuelekea Mkoani Iringa leo kama mwendelezo wa ziara zake za Mikoani za kikazi.
 
Tofautisha kuandaa na kushiriki,media imeandaa tu lakini washiriki wengine,basi waandae TBC uone kama Lukuvi hukutoka nduki atakimbia tuu.Lisu maji marefu ukiingia tu nyesi linakukaukia kwenye nguo ya ndani

Una maana gani? Kama kwingine ni tishio huko TBC kuna nini? au hirizi itakayomfanya ashindwe kuongea?
 
bora hata ameamua kuachana na mdahalo huo, kwa sababu ukiangalia washirki wengine wa mdahalo huo utagundua kuwa ni wa kupangwa kwa makusudi ili kuishambulia serikali, safi sana, nani ambaye hajui kilichonyuma ya pazia kwa kuwashirkisha watu kama yule mkuu wa SAUT? ambao hamjui nitafuteni kwenye private niwamegee.
The bottom line ni kwamba amekimbia mdahalo.....full stop.
 
mkuu TECH WIZ hata kama ni mimi nikiitwa kwenye mdahalo halafu nikajua sina hoja, na mtu nitakayefanya naye mdahalo yuko vizuri kweli kweli; lazma niingie mitini. Simlaumu sana lukuvi maana sasa angefanyaje! na wakati akijaribu kuyapima maji; anaona wazi hawezi kuyavuka?

Hapa umenena mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom