umeongea na kumaliza yote mkuu betlehem, hata kama uzi ukifungwa na kuwekwa 'sticky' wote tutaelewa!mkuu TECH WIZ hata kama ni mimi nikiitwa kwenye mdahalo halafu nikajua sina hoja, na mtu nitakayefanya naye mdahalo yuko vizuri kweli kweli; lazma niingie mitini. Simlaumu sana lukuvi maana sasa angefanyaje! na wakati akijaribu kuyapima maji; anaona wazi hawezi kuyavuka?
Kwa kiongozi wa serikali kawaida tu hakuna la kushangaza mkuu, mtumishi wa siku nyingi sana yule, huwezi kumlinganisha na kiongozi tu wa chama cha siasa ambao nao wana nyumba za aina hiyo.
Tuseme (Mungu apishe mbali) likitokea kama lililotokea Nairobi jumamosi iliyopita ataendelea na ratiba yake? Kwa maana suala la katiba ni la muhimu na linaonekana linaweza kutuingiza kwenye matatizo kama nchi, ndio maana hata Mwenyekiti wa tume ya Katiba pamoja na kuwa na ratiba nyingine amekuwa anatokea mara kwa mara kutolea baadhi ya mambo maelezo na ufafanuzi ili twende sawa.Dakika 45 za ITV ana muda. Pale hana muda! My country is led by the worst elements! The outcasts
Serikali ilishashtukia midahalo inayoandaliwa na kwa udhamini wa WAPINZANI, halafu hata hivyo kama wana hoja si wangepingana naye bungeni kama siyo ushahidi tosha kuwa wanatumia media vibaya.
Huyo mtu mzima kaogopa kuvuliwa nguo hadharani haki ya mama!