Nswima John Edward
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 612
- 312
ningemshangaa kama anagehudhuria.
yaani wewe uambiwe huu mto una mamba alafu na wewe useme ngoja nijaribu kuongelea hawezi kuningata.
Lukuvi nakusihi tena kaa mbali na Lisu atakuvua nguo
Nafikiri alitusikia tulipomuasa kuwa wanamuonea kumuweka meza moja hasa katika mjadala ambao unagusa mambo ya sheria, tunamjua, kichwani hana sharia bila ya werema, ndiyo maana huwa anaomba muongozi au taarifa kwa spika hadi atakapo ongea na Werema, ni kweli, at least amelinda heshama yake, Lissu angemvua nguo mchana kweupe....big up fisadi Lukuvi na jumba la bilioni moja mbezi beach....!!!