Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

<br />
<br />Hao watendaji ni wangapi na majina yao?
Na walikuwa wakae Dodoma kwa muda gani?
Walikuwa walipwe kiasi gani?
 
Huo ndio utawala wa sheria. Pelekeni ushahidi ili afikishwe mahakamani kama hamkuridhika na maamuzi ya Serikali.
 
sasa kwa kweli tanzagiza tumefika pabaya..... kwa hali hii ccm inabidi ijipange sawa sawa 2015 otherwise................najua jibu mnalijua. yaaaani siku yote imeshaharibika kweli nimeamini hakuna serikali duniani yenye suprises kama tanzagiza.
 
Jamani hizi tuhuma hazikuwa na uzito kama kina Shelukindo walitaka. Si mnaona waasi wa Libya wanavyohangaika kuhold ground?
<br />
<br />

MM,

Tuhuma hizo zilikosa uzito gani? Nadhani kwa sababu hatujui ripoti imesema nini inakuwa vigumu kulizungumzia hili suala.

Ila kutokana na hali halisi, yaani, maneno ya Waziri Mkuu bungeni na kwamba kutakuwa na kutafutana mchawi kati ya Jairo na wafanyakazi wa Wizara si busara kumrudisha wizarani! Waziri Mkuu ni bosi wake! Alimhukumu kabla ya kujua ukweli. Wafanyakazi wa wizara ndio waliomuuza kwa kina Shelukindo. Ni bosi wao!

Hii nchi ina mapungufu kila upande. Kwa wanaotaka mabadiliko na walioko madarakani. Wote wana mapungufu makubwa. Wote wanataka sifa kwa kutotenda au kutekeleza maslahi ya wananchi! Kila mtu anataka aonekane kiongozi bora sio kwamba ni kiongozi bora!

Inakwaza sana kufikiria mwisho wa haya yote!
 
Tulijua hili litatokea. Pinda alipotamka kuwa anasubiri uamuzi wa rais kumsimamisha kazi Jairo alikaripiwa na Kikwete aliporudi kutoka Afrika kusini.
Sasa tuliyotarajia yametimia. Kikwete hawezi kumtosa rafiki yake hata kidogo. Walikuwa pamoja wizara ya madini. Wapo pamoja Ikulu. Tena kuna tetesi huyu ndiye atarithi kiti cha Luhanjo. Kazi kweli.
 
seriali ya kifisadi, mnategemea nini kwa hakimu kuamua kesi inayomhusu yeye mwenyewe? Utoh ameteuliwa na mkwe...re.. kufanya kazi na anawajibika kwa JK,jairo kateuliwa na JK sasa sii rahisi kwa Utoh kumwona Jairo ni fisadi atakuwa anamwaibisha jk ikizingatiwa kuwa wote wana maslahi ktk hilo fungu na ni utamaduni wa siku nyingi haujaanza kwa jairo pekee.serikali yote bado legelege,ya kulindana hata kwa mambo ya kifisadi kama haya.Taifa hili limeangamia hadi pale watakapotokea NTC (baraza la mpito) na iwepo serikali ingine itakayomjali Mtanzania lakini sio hii ya CCM.

nlisikiliza TBC haingii akili kukanusha idadi ya idara lkn ukweli uko pale pale hata kama aliomba idara zichangie bado ni rushwa tena ya waziwazi nashangaa Takukuru wapo wapi? watueleze rushwa ni nini kama hii nayo wanaikanusha.,,tanzania inaliwa na wachache lazima tuamke wajamini khaaaaaaaa inakera sana
 
The winner z Jah Hero,he defeat Ze comedy i.e shelukindo,olesendeka & pinda.
 

Bajeti ya wizara ni Tshs 1.2trilion, these guys spend Tshs 500million for facilitation and these top fellow just sits there with his gray hair and says its okay to spend that much to get the budget passed by NA?? Damn it!
 
Reactions: Awo
mzee nilidhani utaanza yale maneno yako ya kudokoa kwenye dictionary ya cantankerous! Labda this time ungesema jairo is cantankerous and polymorphism very much within this circumpolar! Hahahahaha! Huwa naona kama burudani vile!
aisee nilikasilika sana ila umenifanya nicheke sana!
 
Hizi idara zilitoa fedha kutoka mfuko gani?
 
Kwani mmesahau kuwa hii seerikali inaumwa na bahati mbaya dawa ya babu inaonekana kutoweza kutibu ugonjwa wao hivyo kupona ni vigumu sana kwani tayari ugonjwa umesambaa mwili mzima na mgojwa hawezi kupata nafuu wala kupona tena ni lazima atakufa.

Habari hii ni ya kweli na leo ndichio alichotangaza Luhanjo.

Fikiria milioni 500 kwa ajili ya posho za watendaji kwenda Dodoma , halafu hapo hapo unaambiwa kuwa EWURA walilipia gharama zote za malazi na chakula ,sasa hizo zilitumika kufanyia nini? kama chakula na malazi walishalipiwa na mafuita ya magari kila taasisi iligharimia yenyewe na per diem kila taasisi iligharimia maofisa wake waliokwenda Dodoma hizo zilitumika ama zilichangwa kwa ajili ya kufanya kazi gani?
 
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!

Mnakataa lakini moyoni mwenu imo inawaunguza taratibu hadi mushike adabu, mwisho wa siku mtakili na kukubali sera za CHADEMA. Kwakuwa hamjui kusoma sasa naamin picha mnaona.

welcome.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…