Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Staki hata moja apo
same tu me,wizi mtupu
Staki hata moja apo
Kumbe wapenda zawadi eeeeh!Kuiko kusifiwa tu, mara kuguswa guswa bora nipewe zawadi tu....
mama upo? Nimekumiss
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
asante kwa kutoa ushuhuda,
bt hujasema kuguswa wapi inakua raha,,kwenye kope au kucha?
Heheee yani kuguswa raha jamani!!
Mi nahisi Lugha yangu imesahulika
UmkhontoweSizwe unajina gumu sana, ha ha ha n-way mkuu,
zilizobaki hapo nadhani sipo kabisa, japo, hiyo namba 2 inayohusiana na zawadi, angalau inaweza kunihusu, though mimi ni recessive na pia siyo very picky kwasababu najiskia nisiye na majukumu ikiwa mwanamke ananipa yeye zawadi, ....bora nimpe mimi.
Huwa naweka kumbukumbu ya kitu nilichopewa kwaajili ya ku-memorize. na ninapokiona tena na tena huwa upendo unapaa.
Kuiko kusifiwa tu, mara kuguswa guswa bora nipewe zawadi tu....
Maslahi tena? Mi simo!Kwi Kwi Kwi kweli au ndo wale wanaozungumza lugha zote? Bora masilah tu?
Nipo baba,wewe tu umekua adimu
Mmmmmmmmh!
ok!
Nipo baba,wewe tu umekua adimu