Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,465
- 25,425
Aaaaah! chukua moja basi ili na wenzako wapate si unaona mwenyewe ziko chacheMi naona kama lugha zote hapo ni za mwili wangu.......
Aaaaah! chukua moja basi ili na wenzako wapate si unaona mwenyewe ziko chacheMi naona kama lugha zote hapo ni za mwili wangu.......
Hii shule imekwend shule...big up sanaa
Mimi naona kama umealiza mkuu
Asante mkuu. Uzoefu juu ya lugha yako unahitajika pia.
Hiyo no5
Mi naona kama lugha zote hapo ni za mwili wangu.......
Wanajanvi help! utafanyaje kama anaye stahili kukufuta machozi ndiye asababishae ulie?
Unapenda kuguswa eeee!
kama touch screen
Basi mbili,Hiyo 5 na 2Aaaaah! chukua moja basi ili na wenzako wapate si unaona mwenyewe ziko chache
ufisadi!
Zaidi zaidi ipi?Hizo zote napenda....
Dah! chagua hata moja basi angalau na wenzako wapate maana ziko chache
Kuiko kusifiwa tu, mara kuguswa guswa bora nipewe zawadi tu....
Yenye nguvu zaidi ni ipi?
Hiyo no5
Zaidi zaidi ipi?
Heheee yani kuguswa raha jamani!!