Lugha ya Mwili (BODY LANGUAGE)

Ukijua body language ni rahisi kumuelewa mtu. Kwa mfano kuna siku David Cameron alialikwa na hapo alikuwepo Boris Johnson akiwa Mayor wa jiji akawa ndio kimbelembele sana kwa waandishi wa habari ndipo David akatumia mamlaka yake na kutumia body language for tapping on his back hapo kumjulisha kuwa I am your Boss, jamaa akaelewa akampisha kabisa na kukaa kimya.
 
Kuna watu wanaonyesha nyuso za tabasamu muda wote hata pale wanapopatwa na hasira ni ngumu kung'amua kma wameuzika...wengine kuchekacheka pia.

Wapo wale wanapokuwa na hasira hudondosha machozi sasa usije ukafasiri ni huzuni kumbe ni jazba zilizopitiliza zile
Ukicheki ishu za micro expresion hapo juu utaona smile ilitengenezwa na smile ya ukweli......
 
Katika body language ndio maana huangalii peke yake facial expression pia unaangalia pose na tone of the voice MTU anaweza kupretend ila hawez kujificha katik kila jambo
Yeah upo sawa.

Sauti ina mchango mkubwa pia katika kujua kipi kipo kwa mind ya mtu. Hata mkiongea kwa simu unaweza pata clue kutumia tone ya mzungumzaji
 
Ukijua body language ni rahisi kumuelewa mtu. Kwa mfano kuna siku David Cameron alialikwa na hapo alikuwepo Boris Johnson akiwa Mayor wa jiji akawa ndio kimbelembele sana kwa waandishi wa habari ndipo David akatumia mamlaka yake na kutumia body language for tapping on his back hapo kumjulisha kuwa I am your Boss, jamaa akaelewa akampisha kabisa na kukaa kimya.
Haha hukuti mtoto ana mtap bab yake , ambae yupo kwa mamlaka ndo ata mtap mwingine
 
Katika body language ndio maana huangalii peke yake facial expression pia unaangalia pose na tone of the voice MTU anaweza kupretend ila hawez kujificha katik kila jambo

Mambo ya body language labda kwenye masuala ya mapenzi, majadiliano ya kibiashara nk, lakini linapokuja suala la usaliti kitu cha kuangalia ni mboni za macho Macho ndio hayadanganyi - mambo mengine mtu anaweza kuji-pretend tu!

Madikteita kama: Hitler, Mussolini, Josef Stalin, Sadam Husein walikuwa awangahiki kuangalia body language per se, wakiwa na wasi wasi na mtu wanamuita wanamkazia macho alafu wanagangalia mboni za macho yao yana react vipi hapo kama wewe unataka kula njama fulani dhidi yao uchomoki.
 
Mambo ya body language labda jwenye masuala ya mapenzi, majadiliano ya kibiashara nk, lakini linapokuja suala la usaliti kitu cha kuangalia ni mboni za macho Macho ndio hayadanganyi - nambo mengine mtu anaweza kuji-pretend!

Madikteita kama: Hitler, Mussolini, Josef Stalin, Sadam Husein walikuwa awangahiki kuangalia body language per se wakiwa na wasi wasi na mtu wanamuita wanamkazia macho alafu wanagangalia mboni za macho yao yana react vipi.
Hiyo ni micro expresion. Ambayo pia ni body language , inshort body language ni lugha ya mwili
 
Please revisit my comments - Mkuu labda nikukumbushe kwamba kinacho zungumziwa hapa ni expression zile zinazo onekana hata ukiwa mita moja au mbili kutoka kwenye subject husika, hizo ni expressions ambazo tunaweza kuzi term as "MACRO EXPRESSIONS" watu hapa awazungumzii micro, pico au femto expressions ambazo zinaweza kutambuliwa by a trained eye/pro.

Hapo mimi nilikuwa nawakumbusha wachangiaji the other side of the coin siyo kwamba sijui kama jicho ni subset ya viungo vya mwili!!!!
 
Ok mkuu, nimepata vema.

Add nondo wadau waaendelee jifunza
 
Nikiwa darasa la 7 niliwah kukutana na kijana flan,hanijui simjui.Alinambia anaweza kujua kitu akiniangalia usoni.Alifanya ivo na kunambia naonekana ni muoga wa kutongoza.Nilimbishia kuwa si kwel lakn moyoni nilikubal kasema kwel
 
Hahaha ila ku pin point tukio la hiv, inaonekana ulikuwa muoga sana.
 
Back
Top Bottom