Lugha ya Mwili (BODY LANGUAGE)

Kuna watu wanaonyesha nyuso za tabasamu muda wote hata pale wanapopatwa na hasira ni ngumu kung'amua kma wameuzika...wengine kuchekacheka pia.

Wapo wale wanapokuwa na hasira hudondosha machozi sasa usije ukafasiri ni huzuni kumbe ni jazba zilizopitiliza zile
Hapo umenilenga mkuu, maana mimi nikikasirika kupita kiasi huwa natabasamu, nikiwa kawaida mtu unaweza kufikiri nimekasirika yaani huwa nawapa wakati mgumu kweli kazini, naweza kuongea jambo sirious nikiwa nimekasirika lakini mtu atahisi natania/nipo kawaida mpaka ni msisitize kwa Body language huku nikionyesha sitaki utani ndo hunielewa
 
Wakuu body language wa dem mwenye nyege namjuaje ?? Lol

Ili tujue tunaenda na gear gan.
Macho yatamlegea,hata kama ana macho malegevu basi hapa yatakuwa mara 3 yake. Viungo vyake vitakosa ushirikiano na mwili wake,hapa kila utachogusa hajiwezi.
Wengine sauti inabadilika na anaitolea puani au kama ya kudeka hivi.
Maongezi yanabadilika kutoka kuongea hoja zinazoeleweka hadi kuongea vitu visivyokuwa na mpangilio.
 
cea504786d9e2e9c59a7bf7582bf5575.jpg
 
Kuna watu wanaonyesha nyuso za tabasamu muda wote hata pale wanapopatwa na hasira ni ngumu kung'amua kma wameuzika...wengine kuchekacheka pia.

Wapo wale wanapokuwa na hasira hudondosha machozi sasa usije ukafasiri ni huzuni kumbe ni jazba zilizopitiliza zile

Hapo umenilenga mkuu, maana mimi nikikasirika kupita kiasi huwa natabasamu, nikiwa kawaida mtu unaweza kufikiri nimekasirika yaani huwa nawapa wakati mgumu kweli kazini, naweza kuongea jambo sirious nikiwa nimekasirika lakini mtu atahisi natania/nipo kawaida mpaka ni msisitize kwa Body language huku nikionyesha sitaki utani ndo hunielewa
Kicheko fake kinaonekana.
Kicheko cha furaha na kisicho cha furaha vinatofauti kubwa, halafu ujumbe wa mwili kuepuka mkanganyiko hausomwi kwa tendo moja pekeee

Pitch ya sauti, macho, koromeo, movement za mikono etc.

So kusanya na angalia detail nyingi huwezavyo kuwa na hakika zaidi
 
Mkuu, Mimi mpaka unizoee vinginevyo nitakusumbua sana
 
Siku hizi unaongea na mtu yuko busy na tecno boom
Ukion unaongea na mtu then hakuangaliii , anafanya jambo jingine juaa

1. Hayupo interested na unalo zungumza.

2. Amekuzarau.

Kila kitu kinaongeaa mkuuuu.
 
Picha zote zimeonyesha kwa hakika namna body language inavyoweza kitawala mazungumzo. Yani ukiangalia tu unajua hapa ninayezungumza naye haniamini/amefurahishwa/hajafurahisha/anajiamini/hajiamini. Binafsi nadhani ninajua sana kusoma body language. Pia najua kutumia body language kwenye mazungumzo naona nafanikiwa sana katika mawasiliano yangu na marafiki/ndugu/wafanyabiashara nk.
Jina lako na ulichokiandika vinashabihiana ..... big up to u
 
kuna boss wangu alikua mzungu ukiona anacheka ujue hapo amekasirika hadi mwisho yani kimbia mbali.
 
Back
Top Bottom