Lugha ya Mwili (BODY LANGUAGE)

0
Nahitaj saaana kujifunza.... body language... msaada wa application.. pdf notes au njia yoyote ya kujifundisha simple and basic body language
 
Naomba lete picha nne za Harmo Rapa, na Marehemu Dr Remmy na marehemu Kanumba ukiwa unaonesha body languages zao zinaashiria nini.

merengo90
 
Tuache kukaririshana kuna watu wamejifunza na kuweza kuzidanganya lie detectors itakua wewe kweli?

Eti kisa body language? Mtu hujaingia kipindi kimegewa maksi 5 unaenda kwa lecturer unapiga hadithi mpaka anaelewa na hapindui leo unaleta picha hivi na kuhitimisha ni sahihi kwa 100%?

Maajabu yake na wadau wakasapoti.

Katika dunia hii ambayo kuna tapeli aliwauzia watu mnara wa Eiffel si wangemsoma body language na kujua huyu tapeli? Haya huko mbali, kuna mama amemtapeli hadi raisi na ulinzi akagewa na kesi akashindwa hapo body language ilikuaje?

Kama umesomea au unasomea saikolojia mkuu naomba uniambie.
 
Mbona simple , kwani ni kila mtu ana huwezo wa kuzisoma hizi lugha??

Unahisi kila mtu anashndwa kucheza na hizi lugha??.....
 
Mimi nina uhakika mkuu wewe mtu akiamua kukutapeli anakutapeli pamoja na kusema una kipaji cha kusoma body language.
 
Yeah yawezekanaa kwenye kutapeliwa, kutapeliwa ni dhana pana na inamengi sana, ina level kibao
 
cea504786d9e2e9c59a7bf7582bf5575.jpg
Thanks very Much konge .U made my day.
 
Back
Top Bottom