20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,147
- 7,128
Habari za wasaaa.
Asilimia zaidi ya 80% ya mazungumzo yetu hufanya kwa vitendo bila maneno, nikimaanisha mwili huongea zaid kuliko maneno tusemayo.
Hili tendo huwa si la hiyari, kile kilichopo akili huonekana mwilini automaticaly bila kujali umetaka ionekane au hapana.
Mawasiliana haya ni kama mfano Computer ifanyavyo kazi kinachofanyika katika Cpu kitaonekana kwenye monitor.
Lugha hizi huweza onekana wazi wazi au kujificha hutegemea na mtu husika na utaalamu wa kucheza na hizi lugha za mwili wake.
Hutokea haraka sana inahitaji umakini kuzisoma , kwa mara nyingine.
Ingawa ni tendo lisilo la hiyari lakini kuna wataalamu wanaojifunza na kufindisha kudanganya hizi lugha za mwili.
Hebu tazama kidgo baadhi ya hizi picha kuweza kupata kujua nisemacho kwa uzuri