Lugha ya Kikinga

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,242
1,500
Mapembelo mwebhoni mwemukhemanyile ekhekhenga mwe mule mu litesu ele.
wakuu nimesikia kuwa eti lugha hii asili yake ni Kongo. Hebu mwenye uelewa wa asili ya lugha ya kikinga na wakinga wenyewe atufahamishe zaidi.
 

Humphnicky

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
2,154
2,000
Sijui, ila hawa najua wako sana Makete na pembezoni mwa ziwa Nyasa kwenye miteremko ya Livingstone.
Kuhusu u Zairwaa hilo sina hakika nalo.
 

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,809
2,000
Lugha zote za kibantu asili yake ni huko kongo, cameroun etc, they migrated in two ways in southern kwa kuingilia zambia and some in northern wakasettle maeneo ya mkoa wa mara. Kuna makabila katika Mkoa wa Mara ambayo dialects zake zinafanana na makabila yaliyoko cameroun hata leo. Ukienda katanga-drc usishangae ukakuta wafipa huko.

This is the info about Kinga tribe.

Kinga

A language of Tanzania

Population
140,000 (2003). 57,000 in Makete District.
Region
Iringa region, Makete District, Kipengere Mountain Range.
Alternate names
Ekikinga, Kikinga
Dialects
Kinga, Mahanji.
Classification
Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, G, Bena-Kinga (G.60)
Language use
Vigorous. Home. All ages. Positive attitude. Magoma, see themselves as a separate ethnic group. Most also use Swahili
Writing system
Latin script.
Comments
Agriculturalists: potatoes, wheat, peas, maize, and other crops. Christian, traditional religion.
 

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,127
2,000
Mkinga/Mmahanji/Muwanji na Mmagoma angalia hii kuna ukweli hapa kuwa ni asili ya DRC
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom