Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,006
- 1,171
Moja ya sekta inayoingiza fedha nyingi nchini ni sekta ya utalii.
Safari channel naamini ni moja ya channel nzuri sana inayotangaza sekta yetu ya utalii, so nilitegemea waweke subtitles ya lugha ya kiingereza ambayo Ina watumiaji wengi duniani.
Nafikiri bila shaka takwimu zinaonyesha watalii wengi wanatumia lugha ya Kiingereza.
Ni swali tu nimeuliza wakuu au pengine wanabadilisha subtitles ya lugha mbalimbali.
Mwenye uelewa zaidi wa program za safari channel anisaidie pls.