Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Wewe nafikili ni mmoja wa wanaopanga kuangamiza watu wa Mbeya kupitia Mabwepande.
 
Nasikitishwa na mada iliyopostiwa humu jf ya mwampamba akiwaambia vijana wa chadema kuwa viongozi wa chadema ni wasaliti kwakuwa eti walimkana deus kijana aliyetuhumiwa kumuua chachawangwe sasa naomba mwampamba aniambie haya yametokea baada ya kufukuzwa chadema? Na je, kwanini asiwaeleze vijana wa chadema wakati akiwa chadema?au wakati huo yeye akiwa chadema yalionekana halali ila alipofukuzwa yakawa haram? Naomba anijibu maana najua ni mwenzetu humu jf.
 
Siku ya leo sitopost chochote zaidi ya kusoma post zenu nyinyi wasaliti na kufwatilia inshu ya video fake mliyoitengeneza. Lakini najikuta navunja taratibu niliyo anzanayo,kwa kuamasika kukuuliza swali langu la uzushi kama ifuatavyo:eti nasikia mkakati wenu kuifuta ccm na kuanzisha chama kingine kitakacho tokana na muungano wa vyama kaza kikiwamo NCCR-Mageuzi,TLP,CUF,UDP,CHAUMA, nasikia dr.dr.dr.dr.dr.Baba kiziwi 1 akampatia ubunge wa kupewa bwana mbatia baada ya kukubaliana mapendekezo yenu?pia nasikia ndio maana nccr imeamua kuwarudisha kundini mlio watimua ili kujisafisha na kuhalalisha argument iliyo mezani? Tafadhari niweke wazi! Pia nasikia kunauwezekano mkubwa kama wa kuunganisha vyama utashindikana,nasikia mnaplan kuwanunua memba waliomo kwenye baadhi ya vyama vya upizani ili kuweza kuformulate new-political part? Niayo 2 ila ninamengi nahitaji ufafanuz,naomba tuanzie na aya kwanza.

Taratibu mkuu, umekwishapost lakini. Hata hivyo, napita tu, ndiyo kwanza nimeingia.
 
Nasikitishwa na mada iliyopostiwa humu jf ya mwampamba akiwaambia vijana wa chadema kuwa viongozi wa chadema ni wasaliti kwakuwa eti walimkana deus kijana aliyetuhumiwa kumuua chachawangwe sasa naomba mwampamba aniambie haya yametokea baada ya kufukuzwa chadema? Na je, kwanini asiwaeleze vijana wa chadema wakati akiwa chadema?au wakati huo yeye akiwa chadema yalionekana halali ila alipofukuzwa yakawa haram? Naomba anijibu maana najua ni mwenzetu humu jf.
Mzee inawezekana haujui ni kwanini jamaa aliondolewa ndani ya chadema.,ni kwasababu alikuwa akijaribu kuyasema haya huko na bahati mbaya wengi walikuwa ni vichwa maji wanashindwa kumuelewa akaamua kuachana nao.,na sasa anawachana huku nje kwa mashuti ya mbali ni hatari sana.
 
i) DEUS MALLYA:Kwa mara ya kwanza nakutana na DEUS ilikuwa ni mwaka 2007, nikiwa nimejiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam, ambapo nilishakuwa mwanachadema kabla ya kuingia Chuo Kikuu, hivyo nilipofika chuo nilijaribu na kufanikiwa kukutana na vijana wapambanaji wa Chadema hasa wale waliokuwa wanatumikia Makao Makuu ndipo nilipokutana na DEUS MALLYA ambae alikuwa akitumika katika kuchapisha mabango na vipeperushi ambavyo vilikuwa vinabeba ujumbe wa Chadema na falsafa mbalimbali za Ukombozi ambazo chadema ilikuwa
inaelekea ni zaidi/karibia ya miaka 10 tangia uingie kwenye harakati za mabadiliko. Ila cha kusikitisha inaelekea umepoteza muda mwingi bila kuona usaliti ambao ungetokea mpaka ulivyofukuzwa chamani.
  • Swali langu ni je, uko ulikoelekea sasa (ambako hukuwahi kuwa hapo kabla) hakuna dalili za usaliti pia?
  • Na inawezekanaje mtu ambaye umekuwa katika harakati za mabadiriko karibu nusu ya maisha yako unaamua tena kujiunga na wale wale (ulioamini) wanaokwamisha mabadiliko?
Naamini msomi wa chuo kikuu tena cha UDSM na fani nyeti kama ya ualimu anakuwa na upeo mpana zaidi wa kuwa na maono kwa muda mfupi
 
Tunachotaka ni chama chenye maslahi kwa watanzania walio wengi, ku-sacrifice wachache kwa manufaa ya wengi kunafanyika nchi yyt duniani. Sisiem mme sacrifice wengi kwa manufaa yenu wachache. Halafu haya yote ungewaeleza watanzania mapema wangekuelewa sahivi wataona kama taarab vile pia una hatari kupotea kisiasa. Mwanamke mjanja akishtukia mumewe anataka kuhamia nyumba ndogo anaongeza manjonjo ndani ya nyumba ili mumeo asitamani nje. Sisiem kueni kama huyu mwanamke mjanja sisi ni waume zenu kama vipi tutamuoa cdm au hata c.u.f
 
Ng. Mwampamba, nashukuru kwa haya unayo yaweka hapa., napenda kuamini kwamba unayasemahaya kwa nia ya dhati yakutamani kuwafahamisha vijana waliobaki chadema mazingira halisi wanayofanya nayo kazi ili waelewe kwa uwazi wote kabisa nini hasa wameamua kujiingiza kufanya kwa kuamua kuingia kwenye siasa kama hii ya upinzani.,

nataka niwaambie vijana wenzangu wanao tafuta mabadiliko ya kweli ya taifa hili.

Mapambano na mabadiliko yaki siasa sio mkate na siagi., its never a walk in the park - kama tunacho kitafuta hasa ni CHANGE ya kweli nakama tuna maanisha tunacho kisema Basi Hakuna mabadiliko yanayo kuja kwa urahisi namna wengi tunavyo dhani na kutegemea.,

unapo ingia kwenye mapambano kama haya you can not afford to be double minded., and it is too expensive to give up!,

Hapa, Lazima umjue adui yako hasa ni yupi, adui yako wa kweli sio CHADEMA, wala KIONGOZI flani wa chadema, au Mwanachama flani ambaye ali ku treat namna ambavyo wewe haukutegemea kua treated., No! not at all

- Fraud, Misuse of resources, non Accountability, irresponsibility of our governments, Misuse of Power, Poor Social Services, worsening Economic Conditions, Unemployment, and Low Standards living, poor Quality Education, weak representation in international affairs e.t.c is the REAL ENEMY here!

the moment you conceive the idea of politics- first, make up your mind, kwasababu huku utakutana na yote! kutoka kwa walio chama tofauti na chakwako, na kutoka kwa wale wa chama chako. kutoka kwa wale wenye mtazamo tafauti na wako, na wakati mwingine hata kutoka kwa wale wenye mtazamo kama wa kwako.

be prepared! - and you should have been prepared mwampamba!

Mwanamapinduzi atapambana na yote., kwakua anamfahamu adui yake hasa ni yupi, nakwakua hajaingia kwenye siasa ili apate kusomeshwa masters nje, au sjui apewe u DC, ama apate manufaa yoyote yaki maisha - No, siokutoka kwenye siasa ya Upinzani ndugu zangu, hayo ukiwa CCM unaweza kuyategemea na labda utayapata., lakini hata huko hayaji in a silver plate!

Lakini sasa umetafakari kwa kina, umegundua huenda CHADEMA sio mahali panapo weza ku foster dreams zako na style yako ya politics, umeamua kwenda CCM,. umefanya vyema.

Ombi langu, ukiwa huko fanya kazi, kumbuka tunapigana na vitu gani, sio watu gani!!, hata ukiwa huko bado vita hivi unaweza kuviendeleza.

kwa muda sasa tunaona mnayo ya post hapa (pamoja na shoza),

Tafadhali ., nisinge penda kuanza kukufikiria kama mtu unaye tumika sasa., simamia zile zilizo principles zako na style yako yakuleta mabadiliko. do your thing TUACHIE CHADEMA YETU!.

Yaliyo kuwa mema uliyo jifunza huku yaendeleze, yaliyo kua mabaya yarekebishe,. lakini lazima nikutahadharishe - tegemea changamoto hata huko uliko.

ningependa kurudia kitu kimoja hapa ambacho kina weza kukusaidia sana.

Mimi Naamini, Unaweza kuwa na hoja katika hayo unayo ya sema., na inawezekana kabisa kwamba unasema kweli kabisa., lakini hata kama yanaukweli sana, bado haujengi kwakuyasema haya., unabomoa zaidi kuliko unavyo jenga., na mimi napenda kuamini wewe ni mtu mwenye uwezo wakutosha kuwa chachu ya mabadiliko katika nchi yetu hii., haijalishi uko Chadema au CCM., fanya kazi wachana na haya maneno maneno hayakusaidii hata kidogo wala haya saidii vita yetu dhidi ya yule aliye ADUI yetu HASA!.,

i read this somewhere and i thought it was powerful

"i dont fear death,i dont talk about death, cowards do" - Zitto

nadhani kuongelea ongelea haya yaliyo kutoa chadema is to cowardise,- umefanya uamuzi, fanya kazi.,
with all due respect
Comrade,
ni hayo
 
Wewe nafikili ni mmoja wa wanaopanga kuangamiza watu wa Mbeya kupitia Mabwepande.

Kaka ni sikio la kufa wameshamwambia watu kibao jinsi anavyodhalirisha wana Mbeya lakini kaweka pamba masikioni wana mbeya hawajawahi hata siku moja kuwa mumiani wa misimamo na siasa
angalia majasiri wa huko Mark Mwandosya
Mwakyembe
RIP Mwaikusa
RIP Mwaikambo
Dr Ulimboka
Mwangosi
Kibanda
hawa ndio wanaume bwana sio huyo mdabwada anatumia kama tambara
 
Njaa ni mbaya sana usipokuwa makini unaweza ukainamishwa. Hii yote ni njaa tu, CCM wanakutumia na wakimaliza kazi yao watakutupa kama nani hii.
 
Mkuu watakutana sana lakini usichoke mwishowe watanyamaza na hakika watanzania tutakuwa tumefunguka na kujua hasa malengo ya CHADEMA katika msatakabali wa taifa letu.

na mdio zao ukieleza ukweli utatukanwa na kuitwa majina ya hovyo.kwa sababu they are adicted to awfull idiology za benladen
 
Busara ingeonekana endapo wapenzi na watetezi wa CDM wangeamua kuwapa taarifa viongozi wao juu ya andiko hili la Mwampamba, na wakuu nao wakaamua kuja na maelezo ya kukanusha au kukiri. Kinyume na hayo, tambueni kabisa kuwa mwandishi ataonekana mkweli katika macho na fikra za wapembuzi wa mambo pasina ushabiki. Hata kama mwandishi ana mapaungufu yake chungu nzima.
 
Hizi propaganda za kipuuzi hizi zitakoma lini? CCM lazima itaanguka, hii nayo itapita kama zilivyopita zingine na ukweli utajulikana kabla ya 2015
 
kwa maelezo yako unatuthibitishia kuwa aliyosema mwampamba kuhusu mikakati ya chadema na mbinu zao chafu na usaliti wao ni sahihi kabisa. Isipokuwa unawatahadhalisha ccm wawe waangalifu na mwampamba ili wasimweleze kila kitu ili ikitokea amehama ccm wasivuliwe nguo kama wanavyovuliwa sasa cdm

Kila chama kina siri zake mkuu. Hata CDM wanasiri ambazo huwezi kuzijua wewe kajanja tu. Siasa ni mchezo kama michezo mingine. Una mbinu chafu na safi, kubali au kataa.
 
Ganzi ninayekujua leo hii na wewe unakesha kwenye mitandao wakati tunasoma chuo hata gazeti kwako ilikuwa msamiati! Anayejua maana ya neno ganzi hawezi kukushangaa pengine umeshavuta! Eti nawewe kesho tusikie umepewa UDC.

UNAMANISHA HII ........:mvutaji:........WENGI TU WANATUMIA
 
Wakati mwingine tunajikuta tunalazimika kuyasema hata yale ambayo hatukupanga wala kufikiria kuyasema.,nimekuwa nikipigiwa simu na ndugu zangu na rafiki zangu ambao bado wako chadema wakiniuliza kwanini nimeamua kuyasema ninayoyasema, tena kwa lugha kama hii (inayobainisha), nami nimekuwa nikiwajibu kuwa "hivi haiwi faraja kwenu kuwa yupo mmoja aliyewahi kuwa mfano wenu anayetaka kuwaokoa na hatari yenye kuangamiza..?

Tupo jangwani kuelekea Kanani unakuja na wazo la kuturudisha kwa Farao.

Hii hali ni muhimu kwa sasa ili kupembua magugu.
 
Character X pole sana hujui kuwa Mtela Mwampamba hapo alipo anachapakazi iliyompeleka huko?.

Nitashukuru Mungu kama taamua kufanya kazi nyingine zaidi ya hii aliyonayo kwa sasa.
 
Huyu jamaa kama ndio hivi akamatwe maana alificha ukweli hadi madhara yakatokea kwa watu kupoteza maisha (Chacha Wangwe). Huu umbea na mawazo ya kudhani wataiua CDM kwa Porojo za mitandaoni, Hamna kazi za kuwa keep busy???????????????? Chadema, Mnyika Tundu lissu , mara Dr. slaa, hamna Jipya au machungu ya kuvunjwa ndoa yenu.
 
Masikini mwampamba, bado unaiota CDM, kurudi ndio haiwezekani tena!
Hela ya Lumumba itakutoa roho, maanake kila wakati lazima uonyeshe return yake, ndio maana inabidi uandike chochote kuhusu CDM badala ya sera za wapiganaji wapya wa ccm.
 
Back
Top Bottom