Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Umbali wa mawazo haya ni miles kadhaa..,mwenye mawazo mafupi ya sentimeta tatu hawezi kuiona logic na ukweli uliopo katika post hii.
Ingelikuwa kwa ushauri wangu basi ningeliwataka wakuu wa chadema sio kumpinga mtela *so far hakuna cha kupinga hapa coz vyote ni kweli, wajipange katika kuhakikisha kuwa kweli hii haikimalizi chama, wajipange kujisafisha na kujirekebisha mazima.

Ukweli ungekisaidia zaidi Chama Cha Majangili, kwasababu kwa upande wa CHADEMA hapo sijaona ukweli wowote katika post ya huyu stela mwampamba zaidi ya muendelezo wa majungu yake na chuki zake kwa viongozi wa chadema baada ya kutimuliwa. Inaonyesha kuwa kutimuliwa kwake bado hajakubaliana nako ndio maana kila kukicha anatafuta mambo yake ya kipuuuzi ya kutunga ili aichafue CHADEMA lakini mwisho wa siku kila uchafu anaouleta humu unamrudia yeye mwenyewe na masalia wenzake.
 
Deus Mallya kashaweka ukweli wote kule facebook kwamba ulimuomba msamaha kwa kumkana wewe unaendeleza porojo hapa pole sana .Ama kwa hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza .R.I.P CHACHA WANGWE

Utamaduni unatuelekeza kuwa na staha kwa watu waliopumzika/kufa mumuache muheshimiwa apumzike kwa amani,bidhaa mnazouza hazina wateja humu .......mtabikia kuwa na ID nyingi humu na kuchangia hizo hoja wenyewe kwa matumbo yenu.......
 
Leo magwanda na mikakati yao yakudhuru wanahabar unasema siasa ni upendo,chacha kaondoka hivihivi kimasihara kwasababu ya uroho wa watu wachache wa kwenda mogogoni

Unakumbuka ile faksi (nanukuu) ya maccm kabla na baada ya kifo cha wangwe?? unamkumbuka stan katabaro (mwandishi wa habari wa gazeti la mfanyakazi lililokuwa linamilikiwa na JUWATA, unakumbuka Imrani Kombe (ambaye wauwaji wake ambao walihukumiwa kunyongwa hadi kufa leo hii wanapeta uraiani kwa msamahaa wa ikulu), unamkumbuka Mwangosi wa Channel 10, Dr. Ulimboka, n.k. n.k. hayo yote ni matukio ambayo yanaonyesha wazi namna ambavyo Chama Cha Majangili kinavyoitesa jamii. Kwahiyo ndugu yangu hata wanahabari wenyewe wanamjua mchawi wao (kumbuka issues za Said Kubenea na mwenzake walivyomwagiwa tindikali ili wapate upofu wasiweze kuyaona maovu ya Maccm). Naona wewe umedanganyika na uzushi wa mwigulu pamoja na huyu dada masalia mliyemuokota stela mwampamba.
 
Young man, U can fool some people only for sometym! Find something useful to do. Don't u feel shame lying now & then? Grow up there is lyf out of politics as well.
 
CDM.... mnahaha sana mnashindwa kujibu kabisa hoja hapa....mnaandika upuuzi..CDM imekuwa ikiwatumia vijana kwa operesheni zenu chafu, wakikamatwa mnawakata kwa kisingizio hawakuwa watumishi wa chama...hii mbaya sana.

Bora muwaweke wazi kwamba mnawatumia kwa kazi maalum kikinuka shauri yao.....acheni kuandika ujinga hasa wewe mnyika ndio umeandika pumba sana..na kwa vile uozo wenu tunao..kaeni tayari utakuwa wazi soon....

Kuna uozo zaidi ya huu:
1.Wizi wa fedha za EPA
2.Mikataba mibovu kabisa kuwahi kutokea nchini ya uzalishaji wa umeme (hapa ni mingi muda wa kuimention sina)
3. Mawaziri wabovu kabisa kuwahi kutokea tanzania (nao ni wengi kuwaorodhesha hapa, ila hata wewe unawajua)
4. Vyombo vya usalama dhaifu zaidi kuwahi kutokea hapa nchini (ambavyo sasa hivi vinafanya kazi si kwa maslahi ya umma bali vinatumikia watu binafsi)
5. Mikataba mibovu kabisa katika sekta ya madini ambayo inawaacha na umaskini mkubwa jamii yote inayozungukwa na migodi hii ya madini hapa nchini (hili hata wewe unalijua)
6. Mateso na mauaji kwa raia wasiokuwa na hatia kunakofanywa na vyombo vyetu vya usalama (Dr Ulimboka, mwangosi, Kibanda, kubenea, katabaro, Imran Kombe, n.k., n.k. nafikiri hata wewe una mifano mingi)
7.
8.
9.
.
.
.
Unaweza hata wewe mwenyewe ukaongeza manake orodha ya uozo wa maccm ni ndefu saana
 
Deus Mallya kashaweka ukweli wote kule facebook kwamba ulimuomba msamaha kwa kumkana wewe unaendeleza porojo hapa pole sana .Ama kwa hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza .R.I.P CHACHA WANGWE

He!! bi mkubwa upo, ushatoka ulikokuwa umefichwa? karibu sana kilingeni. Tunasubiria uzushi mwingine kutoka kwako manake wewe na mwenzio stela mwampamba kwa kupika uongo humu jukwaani hamjambo. Naona umeanza kumsemea Deus Mallya, siku hizi wewe ndo PS wake? kwani yeye sio member humu aje mwenyewe aweke mambo wazi?
 
CHIEF E....Nimekusoma ila na wewe bado upo gizani naona unaumia sana CDM inavyochanwa wazi wazi mmekuwa mkishabikia CCM kwa mambo kadhaa..huu muda pia wa kuanika ubaya wa CDM wazi wazi na before 2015 tutakuwa tumewaweka wazi sana, najua Dk. Slaa kutwa anashindwa kuomba msaada pale ubalozi wa Norway yeye na Lipumba.

Huwezi mfundisha Mtela taratibu wakati huu...kama mmefikia kutoa namba za viongozi nje nje basi nanyi zenu zitatolewa....
 
Nimejua sasa kwanini Mwampamba aliweka hii post ionekane Ludovick akanwa na viongozi wa CDM. Kumbe wote Mwampamba na Ludovick walikuwa waki2miwa na Mwigulu Nchemba. Ila Ludovick kajidhalilisha sana kwa kutumiwa na Nchemba kwani namfahamu vizuri sana. Ila nawasifu sana CDM. Nasema kweli CDM ina Mungu kwani mbinu zote zinazotumiwa kukihujumu chama zinagonga mwamba. Kama hata Ludo amekisaliti chama bac mamluki wapo wengi sana ndani ya CDM tena wengine ha2wezi hata kuwadhania. CDM endeleeni kubaini wabaya wote mki2mia falsafa ya kijasusi"TRUST NO BODY AND SUSPECT EVERYBODY.
 
Mwampamba kamtoa mnyika pangoni,muheshimiwa alipotea jf lakini imebidi arudi kujitetea. Ndio hapo inabidi kukubali kuna ukweli kwenye huu uzi.
 
Kuna mtu anaitwa Gabriel Athuman mwandishi wa Katibu Mkuu CCM aliwahi kufanyiwa unyama na watu wasiojulikana na unyama wake ni sawa wanaofanyiwa hawa wengine je ni CCM inafanya ukatili huu??? tujiulize...Lwakatale ni mastermind wa haya mambo tangia amekuwepo CUF.
 
KUMBUKA usemi usemao usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto

kuna jamaa kaanzisha uzi kutaka majibu yako bayana, hebu uwe mkweli nenda kaujibu kisha tutachambua maelezo yako na hoja zako na kutoa hukumu iliyo sahihi

lkn suluhisho la matatizo siku zote sio kukimbia matatizo bali ni kutafuta suluhu ukiwemo ndani. kwahiyo hata mke wako akiwa anakubishia na kukusumbua utakimbia nyumba yako sio?

mbona akina Deus na mwenzake hatujawahi kusikia wakilalamika kuwa wamesalitiwa na chama, je wewe haya unayatoa wapi, kwan ww ni msemaji wao, tuoneshe mkataba au ruhusa yao ya kisheria ya ww kuwa msemaji wao? hebu tueleze nn kipya kilichopo huko uliko"?

mm sina chama lkn kama kijana naona umetudhalilisha vijana kupindukia, kwani huko uliko sina hakika kama utadumu kwa muda mrefu na utashindwa pa kwenda. ifikie mahali vijana mhandle vitu kiutu uzima na sio propaganda, ww hujui lkn ndiyo hoja wazee wanayotumia hata ndani ya ccm kutowapatia vyeo vijana wengi waliomo ndani.

hebu tueleze ufisadi huko umeisha, au unalipwa kutokana na matusi na propaganda zako, subiri unatumiwa, uone utatumiwa kama tambala bovu, likimaliza kazi hawatataka hata wao wenyewe kuliona hata barazani

unatakiwa kukua na kuwa mtu mzima, usiendekeze siasa za kubebwa hazitakusaidia, hakuna mtu aliyefika mbali kwa siasa za aina yako, tueleze akina thomas Ngawaiya, dr. rwamwai na yule jamaa wa cuf aliyekuwa anadaiwa kukihujumu chama kule kigamboni ambako inadaiwa alikuwa nanshinda lkn anauza matokeo n.k. warirudi ccm wako wapi siku hizi ktk ulingo wa siasa

mm nahitimisha kwa kusema hujachagua njia sahihi kutatua matatizo yako, hivyo hautafika mbali, utafia mbele hapo tu
 
kaka umesomeka vizuri lakini ninaona kwamba una UMASIKINI WA AKILI YAANI. INTELECTUALLY POVERTY,na unajaribu kushawishi watu kwa hayo mawazo finyu uliyonayo ccm wameshindwa je wewe ? utaweza nanda na majira hii sio ile miaka ya kuburuzwa tena imetosha hata mungu anatupigania ndio maana kila munapo jaribu kui fix cdm mkono wamungu unakuwepo.
 
Deus Mallya kashaweka ukweli wote kule facebook kwamba ulimuomba msamaha kwa kumkana wewe unaendeleza porojo hapa pole sana .Ama kwa hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza .R.I.P CHACHA WANGWE

style yako ya 'uumbaji' maneno na namna ujumbe wako unavyosomeka inatoa picha kuwa you are living in your destiny.
Ungali kijana umefika tamati mapema mno, thats your future no other....Im sory, but I have to tell this.
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.

Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.
Hata usimulie stori zaidi ya elfu moja ziwe za kweli au uongo sidhani kama mtu wa kawaida wa CDM atakuelewa na mtanzania yoyote kama atakuelewa kwa sababu unatoa hizo stories sasa kitu ambacho tunakiona kama ni propaganda kwa sababu kipindi upo CDM hukuwahi kusema hata mara moja,hivyo mi nadhani unataka kujijengea umaarufu tu.
 
kaka umesomeka vizuri lakini ninaona kwamba una UMASIKINI WA AKILI YAANI. INTELECTUALLY POVERTY,na unajaribu kushawishi watu kwa hayo mawazo finyu uliyonayo ccm wameshindwa je wewe ? utaweza nanda na majira hii sio ile miaka ya kuburuzwa tena imetosha hata mungu anatupigania ndio maana kila munapo jaribu kui fix cdm mkono wamungu unakuwepo.

waeleze mkuu jerusalem ......
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataomba radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
 
Uwe na kumbukumbu KIkwete aliyemtuma Deus Mallya alimtoa gerezani baada ya miezi mitatu tuu angallia utaja mpeleka the hague bure Kikwete

ha kikwete tena.dam ya chacha itamulilia mbowe hadi mwisho au tuweke kila kitu
 
Sasa Mtela, wewe umetoka CHADEMA juzi. Wakati huohuo unataja yaliyojiri 2007 hususan mafunzo ya Libya na Urus na mengine mengi. Mbona hukutoka wakati ule. Mbona hutuambii wewe ulipelekwa mafunzo nchi gani. Mbona hutuambii uliyotenda kabla ya kuhama. Nenda kafundishe mwalimu. Ukibana matumizi utaishi tu, maana mishahara ya walimu nayo. duh.
 
Hoooodi!Kubishana kama alichokisema Mtela kua ni kweli au la,ni jambo ambalo linahitaji wawepo watajwa wote tena mbele ya hakimu na waulizwa kiufasaha.Baada ya hapo,tunawezajua nani mkweli na nani muongo.Anachokifanya Mtela na Shonza,ni kitu cha kawaida tu ktk maumbile ya binadamu.Ebu fikiria leo hii hapo mtaani kwenu wanandoa fulani wakiachana tena kwa shari,je,endapo utafanikiwa kuongea na aliekua mume au mke,unatarajia atamsifu mtaliki wake? La hasha?

Na ndo maana mkiwauliza akina Mtela na Shonza kuwa kwanini hawakuyasema walipokua CDM, HAWATOI JIBU,NA KAMWE HAWATATOA,mtasubiri mpaka makalio yawaume hapo mlipokaa!Mimi sijawahi kuoa wake wawili,ila kwa utafiti wangu usio rasmi,ni kwamba,mke wa pili hujaribu sana kumfurahisha mume wake ili aonekane anajua mengi ya maana kuliko yule mke wa kwanza wa bwana huyo anaefurahisha!

Baada ya bwana huyo kujua mbwembwe zote za mke mdogo,utashangaa bwana huyo ameanza kumpuuza na hata kumuacha kabisa bi mdogo huyo aliejifanya anajua mahaba kuliko wanawake woote hapa duniani.Mtela na Shonza ni wapya huko walikoenda,wanataka kuwaonyesha wenyeji wao kua wao ni mwiba mkali kwa chadema kuliko waliowakuta huko CCM,wanahangaika kufuta yale matusi waliyoitukana CCM pindi walipokua CDM. Naijua CCM vizuri sana kwani nimeitumikia na bado naitumikia mwilini huku moyoni nikiwa nimeihama. CCM itawachoka tu hivi karibbuni,yuko wapi Hiza Tambwe aliekua CUF na baadae kuhamia CCM na kupewa kitengo cha Propaganda ambacho alionekana amekimudu vema?

Yupoyupo tu!Mtela hanifahamu,ila namfahamu sana kwani mwaka 2010 wakati wa uchaguzi pale Mbozi,alikua mwiba mkali kwa Ndugu Zambi,na kura zilimpa ushindi ila aliamua kuwauza wana mbozi mashariki kwa kwa manufaa yake mwenyewe. Haya yanasemwa na vijana wenzake aliokua anawatusi pindi yuko CDM na wanamcheka sana kurudia matapishi yake. Nenda kakae pale kwa Mwajeka,Ndisana na Joji uone anavyopondwa na hao aliowakimbilia.Wanajitapa sana kwa kusema hawamtaki agombee pale,wanae kijana wao alikua anabukua USA!Nina hakika Mtela na da Juli wanajua ni kiasi gani CDM ilivyoimara,na wanajua kua Slaa ni imara,na ndo maana hawaishi kumtusi eti wakifikiri Slaa atazinguliwa na maneno yao,hivi hawajui kua huyo Dk halisi ni makini sana na anaijua serikari sana kiasi kwamba hata hawezi hangaishwa na vikorokocho vyao?

da Juli yeye ni matusi tu,tena ya nguo za ndani dhidi ya Slaa,au umepewa kazi hiyo da Juli? Hamta mdhoofisha Slaa,ila mnamuimarisha tu kwani anaendelea kuonwa ni mtu mtulivu hata anapochokozwa jambo ambalo ni lulu kwa mtu ambae anataka kuongoza watu wengi ktk nchi kama hii.TUTAMSAIDIA KUJIBIZANA NA NYIE!We da Juli na ka Mtela,jengeni hoja mseme ni kiasi gani huko mliko ni bora kuliko huku tuliko na hasa hoja zenye kuchochea maendeleo ya watu na si ya vitu kama ilivyo,najua mnaogopa hili kwani huko ukiongea ukweli tu,unalishwa sumu kama yule anko wangu wa Kyela,anatia huruma sana,yaani ameharibiwa muonekano wote.BHAKUBHAGOGA UKO MANYI !

Jamani,Mtela na Juli,wataishiwa kauli hivi kalibuni na hamtowaona tena kwani watakua hawana jipya tena dhidi ya CDM,Hapo ndipo wataachwa na bwana yao CCM na watabaki wakigombea uongozi kwenye vyama vya michezo huko ktk wilaya zao. Tuwavumilie kidogo tu,hawatakuwapo tena na watakua wamepita tu kama walivopita akina Shitambala.KIZA NI KINENE NA KINATAFSIRI MOJA TU, KUA, MAPAMBAZUKO YANAKARIBIA ILA CHA KUSHANGAZA MTELA NA SHONZA WANAKIMBILIA GIZANI TENA! CDM ikivuka hizi propaganda za video,nadhani hakuta kua na nyingine ngumu,hapo ndipo freedom itakapokuja!Mtela,rudi kundini,tutakuapisha na kukusamehe,ila simaanishi kua tunakuhitaji sana wala da Juli!
 
Back
Top Bottom