MBUTAIYO
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 708
- 433
Hakuna kiongozi yoyote makini wa CDM anayeweza kuingia kujibu pumba hizi,Busara ingeonekana endapo wapenzi na watetezi wa CDM wangeamua kuwapa taarifa viongozi wao juu ya andiko hili la Mwampamba, na wakuu nao wakaamua kuja na maelezo ya kukanusha au kukiri. Kinyume na hayo, tambueni kabisa kuwa mwandishi ataonekana mkweli katika macho na fikra za wapembuzi wa mambo pasina ushabiki. Hata kama mwandishi ana mapaungufu yake chungu nzima.
Huyu jamaa anataka kuendeleza malumbano na CDM kwani kwa njia hiyo tu posho yake Lumumba inapanda.