Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

nilihitimu nae 2011 DUCE....lakini kwa harakati dhidi ya Dhuluma....wakamkamata kwenye mtihani akarudia tena. Ila ni mpole sana asiyejigamba, katikati ya harakati huwa hacheki hata wengine wote wakicheka....tuliandamana siku moja kwenda bodi ya Mikopo, yeye akawa representative wetu! Ni mjenga hoja sana na chuoni alikua anapenda kukaa "peasant"(vimbweta vya kusomea).... Binafsi naweza kusema ni vita dhidi ya udhalimu ndio unaomfikisha huku Ludovick Chalii yangu!!!!!! Don't wory.
 
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.
Hutudanyanyi kitu wewe ni mhusika kwenye sinema hiyo. Halafu mwandishi gani wewe tangu siku nyingi unatumika kwa uharamia tuu. Na ulaniwe na mola wewe na hao wenzako.
 
kwenye clip ya video ya lwakatare:
[FONT="]
15:59 ...sauti inasika ikisema ‘’ unamuweka kwenye dilemma hajui adui ni nani yaani anakuja hapa anakukuta wewe ‘’LUDOVICK’’ ndiye unamfatilia’’...huyu Ludovick ni nani?( some dots needs to be collected and connected here ) yawezekana ni mmoja wa vijana waliokuwa wanajirekodi na hili ni jina lake halisi na wametajana pasi kujua au ni code name?..

17:10 kijana anayepewa maelekezo (‘’Ludovick) anauliza ‘’ kwa hiyo kama kila kitu kitaenda well inakwenda mpaka lini?’’ lakini katika kujibu clip inayomuonyesha lwakatarea akijibu swali hilo akisema ‘’ Bahati mbaya umekuja na majibu yasiyojitosheleza’’ ....katika majibu haya kuna mkanganyiko mkubwa maana hakuna uhusiano wa swali lililoulizwa na jibu lililotolewa....tangu dakika ya 15 ya clip hii maelezo ya sauti zinazosikika hayana mpangilio wa manaa... mengi yalilenga kufuatisha ishara na vitendo vya lwakatare alivyokuwa akiongea na ukitizama kwa makini hakuna uhusiano kati ya maneno yenyewe na mdomo wa lwakatare.............

[/FONT]

Wataenda kuiedit upya manake ina makosa kibao ya kiufundi, kwa mfano wamewezaje kuonesha yule msichana na yule jamaa pale kaunta halafu wakashindwa kutuonesha jamaa aliyekuwa anapewa maagizo!?? policcm wana hoja nyingi za kujibu ili kujinasua na video hii feki.
 
Filamu ndo kwanza iko mwanzo kabisa! Alafu hii filamu mbona imenitisha maana washiri wote ni masupstar!! NGoja tusubirii
 
nilihitimu nae 2011 DUCE....lakini kwa harakati dhidi ya Dhuluma....wakamkamata kwenye mtihani akarudia tena. Ila ni mpole sana asiyejigamba, katikati ya harakati huwa hacheki hata wengine wote wakicheka....tuliandamana siku moja kwenda bodi ya Mikopo, yeye akawa representative wetu! Ni mjenga hoja sana na chuoni alikua anapenda kukaa "peasant"(vimbweta vya kusomea).... Binafsi naweza kusema ni vita dhidi ya udhalimu ndio unaomfikisha huku Ludovick Chalii yangu!!!!!! Don't wory.
kwa taarifa yako lu
Ludovic ni mtu wa state wamemweka tu kwenye picha hsps
 
the truth is at somewherehiding.....who can find it?
 
Hivi, katika nchi hii kuna akina Ludovick wangapi?
 
Tiss wako na kale kabegi ka Ludo kalikochukuluwa kwenye bajaji.

Ludoviki mwenyewe huko ndani katapika kila kitu.

Chezea vyombo vya usalama wewe!

Subirini mahakamani mtajua ukweli.
 
hao wananchi unaowasema ni akina nani? ni pamoja na mimi? mie sipo na wewe wala na chadema chenu. wauaji wakubwa nyie. hamna hata dhambi. ndiyo maana upadre umewashinda. loooo aibuuuuu

Wauwaji wakubwa una ushahudi? Usihukumu ukaja hukumiwa.
 
Eti Dr.W.Slaa,

bila haya,bila soni anadiriki kuungopea umma wa watanzania ya kwamba ile video clip ni fake?

huyu mzee kweli kaishiwa sana na busara,kweli wewe unastahiki kuwa presidential material wewe??

chutama mzee,na chama hiko ndio vile tena kinakufia mikononi mwako..

fanya tuh urudi karatu ukalime,siasa zimewashinda mmekaa kupanga panga mauaji na kushabikia uvunjifu wa amani,

tulishawapa imani sana ya kwamba nyinyi ni mbadala wa hawa mafisadi,kumbe nyinyi ndio janga kubwa kabisa la kitaifa,,


yaone kwanza,,MOVEMENT FOR CHANGE OR MOVEMENT FOR DEATH AND KILLINGS??

WHAT A SHAME??

Mpaka mbanwe na ccm kwenye issue ya gesi ndio unahitaji huruma yetu watanzania "SHAME ON YOU TWICE'
 
Mpaka mbanwe na ccm kwenye issue ya gesi ndio unahitaji huruma yetu watanzania "SHAME ON YOU TWICE'


Sikuandika mimi hayo maneno,

Kuna mtu aliingia kwa kutumia akaunt yangu,

Nilishalizungumza hilo..
 
Bagenda ni mkurungenzi wa uhariri katika kampuni ya new habari taarifa iliyotolewa na watu wa karibu na bagenda inasema bagenda anajua A TU Z ya kisa bwana kibanda siku mbili baada ya kuteswa kwa kibanda bagenda alisikika akisema naskia wamenitaja nasubiri waje wanioji
 
Kuna gazeti mmoja nchini, limejikita vema kuchora mchoro walipotoka wavamizi wa Kibanda, Jinsi Kibanda alivyoenda Nyumbani, njia aliyopita, na njia walikopita watesaji wake. anajua vema sakata hili.

Ni Mhariri wa Gazeti hili ndiye alitaja kuwa Ludovick asipokamatwa ushahidi muhimu kuhusu kuteswa kwa Kibanda usingepatikana. Ni mhariri huyu aliyetoa taarifa kuwa Ludovick ni shahidi muhimu ndiye wa kwanza kutuarifu kuhusu Ludovick kukamatwa akiwa Iringa, hata wana JF wa Iringa hawakuarifu kama alivyofanya yeye.

Kama kweli tupo serious na uchunguzi wa jambo hili, huyo aliyechora mchoro huu ni shahidi muhimu sana. Kibanda bado hajahojiwa kutoa maelezo ya walipotokea wavamizi wake, kwanza katika maelezo Kibanda bado hataji Lwakatare wala Ludovick.

Kinachosikika katika video kinataja Mwandishi wa habari wa mwananchi, gazeti hili limeendelea kushikilia waliohusika na Kibanda ni Lwakatare na Ludovick, tofauti kabisa na jinsi polisi walivyopeleka shitaka Mahakamani. Mahakamani inasomwa ugaidi na kupanga kujeruhi mwandishi.

Hili gazeti lina siri nzito angalia picha
 
Back
Top Bottom