Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Kuna gazeti mmoja nchini, limejikita vema kuchora mchoro walipotoka wavamizi wa Kibanda, Jinsi Kibanda alivyoenda Nyumbani, njia aliyopita, na njia walikopita watesaji wake. anajua vema sakata hili. Ni Mhariri wa Gazeti hili ndiye alitaja kuwa Ludovick asipokamatwa ushahidi muhimu kuhusu kuteswa kwa Kibanda usingepatikana. Ni mhariri huyu aliyetoa taarifa kuwa Ludovick ni shahidi muhimu ndiye wa kwanza kutuarifu kuhusu Ludovick kukamatwa akiwa Iringa, hata wana JF wa Iringa hawakuarifu kama alivyofanya yeye. Kama kweli tupo serious na uchunguzi wa jambo hili, huyo aliyechora mchoro huu ni shahidi muhimu sana. Kibanda bado hajahojiwa kutoa maelezo ya walipotokea wavamizi wake, kwanza katika maelezo Kibanda bado hataji Lwakatare wala Ludovick. Kinachosikika katika video kinataja Mwandishi wa habari wa mwananchi, gazeti hili limeendelea kushikilia waliohusika na Kibanda ni Lwakatare na Ludovick, tofauti kabisa na jinsi polisi walivyopeleka shitaka Mahakamani. Mahakamani inasomwa ugaidi na kupanga kujeruhi mwandishi.Hili gazeti lina siri nzito angalia picha

yawezekana
 
Attachments

  • KUTEKWA KIBANDA.jpg
    KUTEKWA KIBANDA.jpg
    332.4 KB · Views: 90
Nimeingalia clip na kusikiliza kwa makini na mtizamo niliopata ni kwamba walijirekodi ili waitoe hiyo clip kama propaganga yani kwamba TISS ndo wameitengeneza.
Kosa walilofanya ni kurekodi kwa ubora, hawakutumia kamera za kipelelezi ambazo u-compress video na sauti ili kuhifadhi kwenye kamera ambazo uwa ni ndogo mno. Ubora wa clip ni wazi kabisa walijirekodi.
Walikuwa so relaxed mpaka wakasahau lengo mfano Lwakatare anapotaja jina la Ludovick na pale ludovick anapouliza nani, Lwakatare anaonyesha kwenye karatasi "si huyu hapa, si huyu jamaa" kinachoonyesha ni wazi anajua kuna kamera.
Kitu kingine Ludovick anauliza ikienda well mpaka lini? Lwakatare anasema haujaja na majibu kamili, ila cha kushangaza ni kwamba toka mwanzo wanaonekana ndo wanaanza kupanga tukio na hakuna mhutasari wa kazi ya nyuma zaidi ya kusema mwanzoni "mike".
Kosa la mwisho ambalo ndo linaweza kuwatia hatiani ionekane ni kweli walikuwa wanapanga ni kutoedit sauti zao ili zisitambulike kirahis.
Nina uhakika Bukoba boy ni mmoja wao au Ludovick ndo alipost youtube, polisi hawana nakala original watatumia iyo waliodownload youtube
 
huenda walirekodiwa kwa siri. huenda walijrekod lakin video ikaibwa. huenda hawakujua ikitoka italeta noma kias hiki. huenda walijua italeta noma lakin ndo kupambana kwenyewe
 
Nenda kisutu sasa ukatoe ushaidi kamanda atakua pale kupata dhamana....
 
mh! Kazi kweli kweli, sijui tumuamini nani sasa, maana kila mtu anakuja na lake humu
 
mhh! Mshombsy inaonekana una kataaluma kidogo ka intelligensia. sasa kama walijirekodi, ni nini hasa lilikuwa lengo la kujirekodi huku wakitoa matamko kama yale na kisha kujiweka wao wenyewe you tube? au watakuwa wanatumiwa! kama wanatumiwa; wanatumiwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
mh! Kazi kweli kweli, sijui tumuamini nani sasa, maana kila mtu anakuja na lake humu

binafsi nabaki na kigagaziko sana kuhusu hiyo video,kama usemavyo ishakua kero,sasa kila mtu mpelelezi na kila mtu mtaalam wa TEKNOLOJIA YA VIDEO,NA MWISHO WA SIKU SI LWAKATARE WALA LUDO AMBAO WAMEIZUNGUMZIA,WATU WANABAK KUWASEMEA TUUUU
 
Msijisumbue hao ni magaidi wala njama za kuwadhuru ndugu zetu wasio na hatia!..Wanastahili kunyongwa kabisa hao!
 
Ukisoma kila thread ya jf utagungua kuna watanzania wana akili nzito akika ! Uwezi fikiri kama ni mawazo ya mtoto au yaliyo post thread au la!
 
mh! Kazi kweli kweli, sijui tumuamini nani sasa, maana kila mtu anakuja na lake humu

Weka mapenzi kando tumia akili yako, yule ni Lwakatare anapanga njama za kuumiza watu wasio na hatia...Mgaidi wale hawastahili kurudu uraiani!
 
Nimeingalia clip na kusikiliza kwa makini na mtizamo niliopata ni kwamba walijirekodi ili waitoe hiyo clip kama propaganga yani kwamba TISS ndo wameitengeneza.
Kosa walilofanya ni kurekodi kwa ubora, hawakutumia kamera za kipelelezi ambazo u-compress video na sauti ili kuhifadhi kwenye kamera ambazo uwa ni ndogo mno. Ubora wa clip ni wazi kabisa walijirekodi.
Walikuwa so relaxed mpaka wakasahau lengo mfano Lwakatare anapotaja jina la Ludovick na pale ludovick anapouliza nani, Lwakatare anaonyesha kwenye karatasi "si huyu hapa, si huyu jamaa" kinachoonyesha ni wazi anajua kuna kamera.
Kitu kingine Ludovick anauliza ikienda well mpaka lini? Lwakatare anasema haujaja na majibu kamili, ila cha kushangaza ni kwamba toka mwanzo wanaonekana ndo wanaanza kupanga tukio na hakuna mhutasari wa kazi ya nyuma zaidi ya kusema mwanzoni "mike".
Kosa la mwisho ambalo ndo linaweza kuwatia hatiani ionekane ni kweli walikuwa wanapanga ni kutoedit sauti zao ili zisitambulike kirahis.
Nina uhakika Bukoba boy ni mmoja wao au Ludovick ndo alipost youtube, polisi hawana nakala original watatumia iyo waliodownload youtube

hili swala litawatesa sana wanachadema,lakini kina Lwakatare wanajua walikua wanafanya nini!
 
Video ina vipande ama clip ama scene 11 zilizoungwaungwa full stop aliyeitengeneza analitambua hilo, video ni fekero bado warudi studio wamechemka hawampati mtu hapo A bad lip reaading vipande 11 simple like that.
 
Nenda kisutu sasa ukatoe ushaidi kamanda atakua pale kupata dhamana....

Nani atampa dhamana? unadhani mahakimu ni vichwa maji kama wewe? Mtu apange njama za kulisha watu sumu halafu apewe dhamana?
 
Video ina vipande ama clip ama scene 11 zilizoungwaungwa full stop aliyeitengeneza analitambua hilo, video ni fekero bado warudi studio wamechemka hawampati mtu hapo A bad lip reaading vipande 11 simple like that.

Umechanganyikiwa si bure!..eti hwampati mtu hapo! wampate mara ngapi?
 
ukiiangalia ile CLIP bila macho ya kichadema utagundua haina SHIDA KABISA, ile ni pure local recording! sauti za kuigwa zinakuwa na video effect ambazo ni rahisi sana kuziidentify! ebu chafya anazopiga,jinsi anavyojipangusa,anavyoangalia huku na huko na kupepesa macho, jinsi anavyoandika utaonavinaenda sanjari kabisa na plot nzima ya kujirekodi! nahisi kuna mtu amewasaliti na kureleas ile CLIP
 
mhh! Mshombsy inaonekana una kataaluma kidogo ka intelligensia. sasa kama walijirekodi, ni nini hasa lilikuwa lengo la kujirekodi huku wakitoa matamko kama yale na kisha kujiweka wao wenyewe you tube? au watakuwa wanatumiwa! kama wanatumiwa; wanatumiwa na nani?

Hapa mkuu utakuwa unauliza jibu, angalia thread yenye kichwa "Saidi Mwema kamata hawa haraka" post namba moja nimejaribu kugusa all possible reasons za kuzaliwa hii video.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom