Lucy Mayenga alivyowaeleza wabunge ukweli

Uhamiaji wanahangaika na manji waniacha ccm kwa kuajili wahamiaji haramu Kama hawa, uraia wake Una walakini Sana na angekuwa upinzani naona tayari angekuwa amerudishwa kwao, akiendelea kuleta mchezo watu watatirika majina take ya kinyarwanda na sababu zilizomfanya aje tz, za chinichini inasemekana ni pandikizi la p,

Hapa sijui alitaka kuongea nini, ukimfuatilia kwa makini Kama kuna kitu anataka kusema lakini hasemi anaishia njiani, ndo tunategemea hawa wakae wamshauri raisi, tan MTU Ana mawazo kimaskini hivi
 
Huyu mama ametapika. Hivi ni kweli wabunge wananunuliwa? Mbona aibu, waseme bei ili tuwanunue!
 
Huyu nadhani ni mtusi na si mtanzania. Anataka wabunge wakae kimya? Hajui kuwa kazi ya mbunge ni kukosoa na kuishauri serikali? Au ndio anawinda uwaziri? Kweli baadhi ya wabunge wa ccm ni mizigo.
Anaonekana tu sio mtanzania ni mnyarwanda.
 
Huyu amekaa muda mrefu ila hajui kazi za wabunge bungeni. kazi za wabunge si kuunda vijikundu (saccos. )

Kazi namba 1 ya bunge ni kuisimamia serekali .
 
Teh teh teh [emoji1] [emoji1] asante kwa hitimisho zuri mkuu. Dah!! Hata akijifuta jasho watu wanakosoa tu ndio upinzani ulipofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…