Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Jifunze kuwa si kila anaye like anakuwa katika furaha na matusi huwa hayamnyimi mtu uhai na si Magufuli pekee ndo anatukanwa na binadamu tunatofautiana kila kitu...so ungemshauri Rais aelekeze nguvu zake katika kuwatumikia wananchi na siyo kumjadili fulani kuwa anatukanaNinachomanisha, ni sawa kiongozi wako kumpigia makofi mtu anayemshushia matusi ya nguoni mwingine kwa sababu hakubaliani na alichokisema tena kwa ustaharabu!
Awenya ndio nani na wewe? Hivi shida yako ni kuwa umelewa au dish limecheza?Mtoto wa Ndesapesa anaitwa Lucy Awenya - viti maalumu CHADEMA
Kukaa kimya ni muhimu Kuliko kusingizia mtu.Mtoto wa Ndesamburo.
Imagine mbunge anasema yeye anawaza biashara tu na ukija kuchunguza biashara yenyewe kumbe ni kuuza mbunye tu kwa vibosile.Anaweza kuwa hana maadili, lakini kama anafichua siri za kukosa maadili za watu tunao waamini kuna ubaya gani?
Hawa viongozi wengi wana tabia chafu sana kuliko hata machangu lakini wanataka kutuona sie hayawani
Uzuri wa mwanamke urembo...ugly bitches msijipe moyouzuri wa mwanamke ni akili kichwani.
Nilishapendekeza hapo awali kwamba jukwaa hili lilishavamiwa na wafia dini wa Ufipa ambao kamwe huwa hawataki kusikia cv za mwenyekiti wao MBOWE kwamba pia kuna kila haja kwa mods kuangalia umri wa wadau wa jukwaa hili. Kuna mambo mengi ya kitoto yanabishaniwa humu alimradi yaweze kupotosha malengo mazima ya yaliyosemwa na mbunge. Kiukweli Mh. Lucy Mayenga ametoa neno Jema lisilo na upendeleo wowote au mrengo wowote ili tu kuwafanya wanaopenda kupotosha na kuharibu taswira ya bunge waache. Si upinzani wala chama tawala ndani ya bunge ni kweli baadhi yao wanatumika.
Uzao wa Ndesapesa unaweza kuwa na wajinga lakini IQ yao inaanzia walau 70 kwenda juu.Mtoto wa Ndesamburo.
Umemsikia anasema saa nyingine anashindwa kuuliza maswali kwasababu anawaza biashara zake.Uzao wa Ndesapesa unaweza kuwa na wajinga lakini IQ yao inaanzia walau 70 kwenda juu.
TUKUMBUSHANE: Mkataba wa Buzwagi uliingiwa na serikali na Zitto aliupinga kama mbunge, anavyoongea mheshimiwa hapa ina maana hakupaswa 'kuipinga' serikali! Leo hii rais aliyekuwa mbunge wakati huo pia anazuia na kukamata makontena ya mchanga wa Buzwagi ambayo possibly ndicho ZZK alikuwa akikipinga na 'mbunge-rais' hakumsapoti!
Huyu dada anadai kuwemo bungeni miaka 12 lakini hasemi ni kwa nini nchi 'haikujengwa' tangia hapo bali anatuaminisha kuwa tunyamaze sasa hili ndio ijengwe! ...sijui naye tumuombee!!
Sina uhakika sana lakini kabla ya uchaguzi na kabla ya El kuingia UKAWA agenda ya upinzani ilikuwa ni kumpata Rais mwenye haiba kama ya MAGU na Wabunge wazalendo na nchi ili kurudisha nidhamu kazini na uwajibikaji vitu ambavyo kwa sasa vinafanywa kwa spidi ya ajabu. Kasoro huwa hazikosi ila huo uzalendo kutoka kwa Wabunge waliowengi wa upinzani umepungua sana na Unaweza kuona ni kwa kiasi gani wanavyokosoa hatua za serikali katika kumaliza Ishu ya madawa ya kulevya, ufisadi, Elimu bure, Ujenzi wa miundombinu MAMA ambayo huchochea maendeleo kwa haraka kama vile reli, usafiri wa anga, barabara n.k.Mkuu 44% ya wananchi tuliopiga kura hatukumchagua awe rais unajua maana yake?
Nguvu zake ameziweka katika kuleta kupunguza ufisadi, reli, barabara,kuongeza ufanisi na nidhamu kwenye taasisi za serikali.Jifunze kuwa si kila anaye like anakuwa katika furaha na matusi huwa hayamnyimi mtu uhai na si Magufuli pekee ndo anatukanwa na binadamu tunatofautiana kila kitu...so ungemshauri Rais aelekeze nguvu zake katika kuwatumikia wananchi na siyo kumjadili fulani kuwa anatukana
FACTSina uhakika sana lakini kabla ya uchaguzi na kabla ya El kuingia UKAWA agenda ya upinzani ilikuwa ni kumpata Rais mwenye haiba kama ya MAGU na Wabunge wazalendo na nchi ili kurudisha nidhamu kazini na uwajibikaji vitu ambavyo kwa sasa vinafanywa kwa spidi ya ajabu. Kasoro huwa hazikosi ila huo uzalendo kutoka kwa Wabunge waliowengi wa upinzani umepungua sana na Unaweza kuona ni kwa kiasi gani wanavyokosoa hatua za serikali katika kumaliza Ishu ya madawa ya kulevya, ufisadi, Elimu bure, Ujenzi wa miundombinu MAMA ambayo huchochea maendeleo kwa haraka kama vile reli, usafiri wa anga, barabara n.k.
Mkuu ukiingia kwenye ofisi za serikali kuna nidhamu za kutosha. Udhaifu wa uongozi uliokuwa ukipigiwa kelele na akina Mnyika haupo tena na kimsingi ndicho walikuwa wakikitaka wakati huo. Mi naona mtoto aliyezaliwa alitanguliza miguu badala ya kichwa tofauti na matarajio ya wapinzani nchini. Ili tuwe wazalendo wa kweli basi tumwache achape kazi na pale panapoonekana panakasoro basi tujenge hoja na Kukosoa huku tukitoa na suluhisho la kasoro zenyewe. Hivi sasa humu ndani kuna wakosoaji wa hata mheshimiwa Rais Magufuli akijifuta jasho. Wanahoji kwanini bodyguard asimfute.. Basi alimradi ni UPINZANI
Nadhani umesoma kutoka kwa kale kadada kahuni ka MarekaniAisee kuna sehemu nimesoma habari zake hadi nikaogopa ..nasikia anapenda sana kutoa mtandao pendwa ...kina Maembe..Api &son ,Rost tamu ...wamefumua sana
Kama alitoka na Rostam atakuwa amejenga nyumba ya maana na kama hajajenga hatajenga tena.Aisee kuna sehemu nimesoma habari zake hadi nikaogopa ..nasikia anapenda sana kutoa mtandao pendwa ...kina Maembe..Api &son ,Rost tamu ...wamefumua sana
Ndio maana nakuambia kale kadada ni kahuni hakafai hata kulumagiaNdiko huko kipindi cha kampeni akimnadi magufuli ndo alikuwa anatukana matusi makubwa kwa lowasa ccm walishangilia sasa zamu yao nao kunyooshwa tena kwa Raisi wa nchi kabisa anatukana bila aibu.