LUCA ni animation moja kali kinyama ya 2021

Fantasy wise ilikuwa ni Failure, at least implementation, just imagine walivyo Mhype Arya na Bran, ama walivyo Hype Vile vita, Tukajua Bonge la Battle linakuja, sijui waliishiwa na budget ama ikawaje ila walivyoimaliza ni kama unavyosema Disappointment.

Hope ile story Director mwengine atakuja Kuitendea haki.

LOTR huwa hawataki Utani, series yao inakuja Amazon wame chukua Tenda, wao hawaruhusu kubadili story yao ama Quality iwe ndogo kwenye story zao.
Mkuu naitafutaga hii lort bila mafanikio, nipe link mkuu..
 
Kuna hawa jamaa wanaitwa THE CROODS wananikosha sana walai,

Onward iko poa sana,

Over the Moon na yenyewe iko poa,

LuCa walitaka kuinasibisha na jamaa zangu wa upinde wa mvua, wanasema kuna kakitu flan wamekapenyeza lakini binafsi nimependa upendo wao wa kweli definition ya Bestfriend Forever.
 
Serious Got ilikuwa ni Big failure mkuu, kwa fantasy fan yoyote, unless uliangalia Got sababu ya mambo mengine.

Hebu compare vita vya LOTR return of the king na vile Vita vya mwisho vya GOT, eti jeshi Zima limeingia tu kwenye Giza farasi wamerudi watupu basi, tayari Dothraki wote wamekuwa defeated.

Got ilikuwa na Hype mwanzo hata mimi walinishika ila last season ilikuwa disappointment kubwa sana.

Yes nakubali last season ilikuwa ni disappointment lakini huwezi sema GOT ilikuwa Big failure hapana mzee kabisa nakataa,

Fantasy wise ilikuwa ni Failure, at least implementation, just imagine walivyo Mhype Arya na Bran, ama walivyo Hype Vile vita, Tukajua Bonge la Battle linakuja, sijui waliishiwa na budget ama ikawaje ila walivyoimaliza ni kama unavyosema Disappointment.

Hope ile story Director mwengine atakuja Kuitendea haki.

LOTR huwa hawataki Utani, series yao inakuja Amazon wame chukua Tenda, wao hawaruhusu kubadili story yao ama Quality iwe ndogo kwenye story zao.
GOT season ya mwisho ndio imekuja kuharibu sijui nini kiliwakuta hawa watu aisee... nadhani ni vile waliitengeneza series mtu asiweze kutabiri lolote lijalo. Night king alikufa kihovyo haakutendewa haki kabisa hatukuona role ya mafunzo aliyopata arya kwenye vita ya mwisho.
Lakini tukiondoa S8 GOT inabaki kua series bora kuanzia uigizaji Hadi uandishi na realistic..LOTR ni fairly fantasy vitu vya kufikirika zaidi ila GOT kuna uhalisia.

Binafsi naona pambano la LOTR kwenye return of the king (Battle of Minas Tirrith?) Inazidiwa na Battle of the Bastard. Ile battle ni balaa hadi mtazamaji mwenyewe unakua unafeel kama upo vitani pia..
Batle zingine bora ni
  • Batle of Hardhome
  • Batle of Mereena
  • Battle of Castle Black
 
Pengine wewe ni katika wale minority mkuu.
 
Kuna hawa jamaa wanaitwa THE CROODS wananikosha sana walai,

Onward iko poa sana,

Over the Moon na yenyewe iko poa,

LuCa walitaka kuinasibisha na jamaa zangu wa upinde wa mvua, wanasema kuna kakitu flan wamekapenyeza lakini binafsi nimependa upendo wao wa kweli definition ya Bestfriend Forever.
Mkuu hebu nipe link niifatute hy luca
 
Mkuu hebu nipe link niifatute hy luca
Acheni story nyingi.

Tupeni link za tudownload,
Pakua kupitia Torrent
 
Kuna hawa jamaa wanaitwa THE CROODS wananikosha sana walai,

Onward iko poa sana,

Over the Moon na yenyewe iko poa,

LuCa walitaka kuinasibisha na jamaa zangu wa upinde wa mvua, wanasema kuna kakitu flan wamekapenyeza lakini binafsi nimependa upendo wao wa kweli definition ya Bestfriend Forever.
Angalia na THE CROODS A NEW AGE iko good sana
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom