jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,192
- 42,894
You gota a bruno on your headNdani ya mji wa Portorosso
Hilo halina ubishi! Luca na Alberto huwa nairudia hii animation bila kuchoka
Chau chau[emoji16]Luca Paguro
Alberto Scofano[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hebu nipe link niifatute hy luca
Tuma linkMie Telegram ndie mkombozi wangu, hayo mambo mengine siyajui
Tuma link
Alberto mjanja mjanja sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]walete part 2 yake bana
Soul ni ya mwaka ganiPixar hawajawahi kukosea kwenye kutengeneza animation. Wana stori nzuri na animation zao zipo very realistic kama muvi ya kawaida.
Soul
Luca
Raya the last dragon nadhani ndio animation bora mwaka huu.
Dreamworks wameniboa Boss baby 2 sijaipenda wala. Ngoja nisubirie Hotel Transylvania: Transformania
2020Soul ni ya mwaka gani
😂😂Alberto timu ya mjini yuleAlberto mjanja mjanja sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]walete part 2 yake bana
Nzuri sana