LUCA ni animation moja kali kinyama ya 2021

Sijapata ya kuifunika RANGO
Mkuu badirisha mentality yako itakufanya ukose vingi vizuri. Mimi Mpaka leo sioni kama kuna series nzur kama GOT maana nishajiambia hivo na kila nikianagalia series naanza kukagua kama ina vigezo vya GOT hii imefanya nisiwe interested na seríes zingine.

Kuna seríes nzuri nyingi kushinda Rango kama vile
  • Megamind
  • Europe most wanted
  • Up
  • Luca
  • Coco
  • Big hero 6
  • WALL-E
  • Nezha
 
Mega mind anakupa “the incredible, criminal master of all villains Mega mind” na mwenzie mr goody two shoes
 
Mimi kunamoja inaitwa maona ndio ilinifanya nikaanza kuzipependa hizo animation video sema nisaidieni kama hy ya luca naipataje au km kunamtuu ana app ya kuidownlod anisaidie
 
Mkuu badirisha mentality yako itakufanya ukose vingi vizuri. Mimi Mpaka leo sioni kama kuna series nzur kama GOT maana nishajiambia hivo na kila nikianagalia series naanza kukagua kama ina vigezo vya GOT hii imefanya nisiwe interested na seríes zingine.

Kuna seríes nzuri nyingi kushinda Rango kama vile
  • Megamind
  • Europe most wanted
  • Up
  • Luca
  • Coco
  • Big hero 6
  • WALL-E
  • Nezha
unataka tuwaze sawa?
 
Naona Bado mnarate Animation kwa Details, Karibuni ulimwengu wa Anime,

Attack of Titan imetop hadi Soko la USA kama Show Inayoangaliwa na watu wengi zaidi na ni 2D na haina Details na realism kivile.

Kwenye Anime Unapata Depth na story ambayo huwezi pata kwenye Movie yoyote ya west.

download.jpeg-3.jpg
 
Mkuu badirisha mentality yako itakufanya ukose vingi vizuri. Mimi Mpaka leo sioni kama kuna series nzur kama GOT maana nishajiambia hivo na kila nikianagalia series naanza kukagua kama ina vigezo vya GOT hii imefanya nisiwe interested na seríes zingine.

Kuna seríes nzuri nyingi kushinda Rango kama vile
  • Megamind
  • Europe most wanted
  • Up
  • Luca
  • Coco
  • Big hero 6
  • WALL-E
  • Nezha
LOTR any day anytime over GOT
 
LOTR any day anytime over GOT
Labda LOTR inachoshinda GOT ni tuzo nyingi 17 za oscar ilizopata na Mwisho unaoridhisha maana walifuata zaidi kitabu kilivyokua. Ila GOT ni nzuri kushinda LOTR ndio maana GOT unaweza irudia mara 10 bila kuchoka ila LOTR huwezi irudia mara nyingi. Kingine naona wanaisifia LOTR maana wengi wanampenda zaidi na kumuheshimu RR Tolkien kuliko GR Martin
 
Mega mind anakupa “the incredible, criminal master of all villains Mega mind” na mwenzie mr goody two shoes
Nilitamani sana Megamind ipate muendelezo iko poa sana sema Tom McGrath hana hata mpango wa kuketa muendelezo
Dreamworks kwa kuchekesha tu wapo vizuri asee
 
Labda LOTR inachoshinda GOT ni tuzo nyingi 17 za oscar ilizopata na Mwisho unaoridhisha maana walifuata zaidi kitabu kilivyokua. Ila GOT ni nzuri kushinda LOTR ndio maana GOT unaweza irudia mara 10 bila kuchoka ila LOTR huwezi irudia mara nyingi. Kingine naona wanaisifia LOTR maana wengi wanampenda zaidi na kumuheshimu RR Tolkien kuliko GR Martin
Serious Got ilikuwa ni Big failure mkuu, kwa fantasy fan yoyote, unless uliangalia Got sababu ya mambo mengine.

Hebu compare vita vya LOTR return of the king na vile Vita vya mwisho vya GOT, eti jeshi Zima limeingia tu kwenye Giza farasi wamerudi watupu basi, tayari Dothraki wote wamekuwa defeated.

Got ilikuwa na Hype mwanzo hata mimi walinishika ila last season ilikuwa disappointment kubwa sana.
 
Yes nakubali last season ilikuwa ni disappointment lakini huwezi sema GOT ilikuwa Big failure hapana mzee kabisa nakataa,
 
Check petter rabbits 2, ila naona kama sio nzur kama part 1
Mkuu badirisha mentality yako itakufanya ukose vingi vizuri. Mimi Mpaka leo sioni kama kuna series nzur kama GOT maana nishajiambia hivo na kila nikianagalia series naanza kukagua kama ina vigezo vya GOT hii imefanya nisiwe interested na seríes zingine.

Kuna seríes nzuri nyingi kushinda Rango kama vile
  • Megamind
  • Europe most wanted
  • Up
  • Luca
  • Coco
  • Big hero 6
  • WALL-E
  • Nezha
 
Yes nakubali last season ilikuwa ni disappointment lakini huwezi sema GOT ilikuwa Big failure hapana mzee kabisa nakataa,
Fantasy wise ilikuwa ni Failure, at least implementation, just imagine walivyo Mhype Arya na Bran, ama walivyo Hype Vile vita, Tukajua Bonge la Battle linakuja, sijui waliishiwa na budget ama ikawaje ila walivyoimaliza ni kama unavyosema Disappointment.

Hope ile story Director mwengine atakuja Kuitendea haki.

LOTR huwa hawataki Utani, series yao inakuja Amazon wame chukua Tenda, wao hawaruhusu kubadili story yao ama Quality iwe ndogo kwenye story zao.
 
Back
Top Bottom