Lowassa will never win says South Africa

Lowassa will never win says South Africa

Margin ya ushindi itakuwa ndogo sana

Sasa unaweza kuona utabiri wa TWAWEZA ulivyo wa kubabaisha baada ya kupewa fedha na Makamba. Jambo moja ambalo watanzania wengi hawajui ni kuwa mataifa makubwa kama USA huwa yanaendesha kura za maoni za uhakika na kwa kisiri kwenye kila nchi ambayo wana maslahi na huwa wanaweza kubashiri kwa uhakika ni nani ataibuka mshindi
 
Ukisikiliza vizuri tone ya reporter utagundua kuwa Lowasa anaongoza & kueleweka zaidi ya Magufuli.
 
Tatizo la waandishi wengine wa habari wa nchi za nje nao wanasikia habari na kuziripoti. Ili uwezwe kutoa habari kamili ya kuaminika unatakiwa uwe katika sehemu ya tukio na zaidi ya hapo kuweza 'kuhusi mshipa' (feel the pulse) wa mambo yanavyokwenda katika uhalisia wake.
 
Umeajuaje hakuwako nchini au amefikia hitimisho lake kwa kuona ukweli kwenye ground?
 
Vp nyie hamkuona wachina na wazung wako kwenye daftar la wapigakula
 
The SABC reporter Sarah, is misinforming the public. Magufuli is no match for Lowassa. Lowassa is a political heavyweight whereas Magufuli is a flyweight! The opinion polls she is talking about are fabricated by CCM. We are at the site, and all over the country, everybody is talking about change, about Lowassa. CCM days are numbered! Tanzanians have spoken, our President is Lowasaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
sasa naanza kuamini kwa nini Lowassa anasema Elimu kwanza

Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!

Last edited by a moderator:
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!

Naona lugha inakupiga chenga sana. Sikiliza vizuri. Kama hamjui lugha musitafsili hizi lugha. Anasema uchaguzi ni mngumu kwa kutaja nani ataibuka mshindi.
Sasa kwa vile wewe ni gamba unavutia kamba kwako nakusema ccm ita shinda.
Kazi unayo kweli, ccm mumeshikwa pabaya sana na munadondoka mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Ukisikiliza vizuri tone ya reporter utagundua kuwa Lowasa anaongoza & kueleweka zaidi ya Magufuli.
The reporter did not do the necessary research required. She is misleading the public. Tanzania presidential elections do not have run-offs
 
HUyo aliyepost hiyo clip kwenye youtube keshaiondoa baada ya kugundua anachemka
 
Back
Top Bottom