Lowassa will never win says South Africa

Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!




mkuu kwenye mahusiano kati ya nchi na nchi kuna protocol sioni kama uko sahihi kwa swala hili nchi nyingine kuingilia uchaguzi wa taifa lingine uchaguzi unabaki kuwa ni wa tanzania waamue hatma ya nchi yao
 
Last edited by a moderator:
Africa ya kusini ni akina nani,wananchi au serikali.Kama ni serikali that is expected,kwa kuwa wangependa CCM itawale milele.Kwao Tanzania under CCM ni shamba la bibi.Anything else is unkown,so it is a threat to their interests.
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!


 
Last edited by a moderator:
Mtu yupo Nairobi kisha anatoa tathimini ya utamu wa mwenzie akishughulikiwa huku Tanzania. Ukimuuliza umepata wapi habari atakuambia" nimepa tu kwa ile gazeti ya tanzania" ..Wapi na wapi hii.
 
ukiona hadi aliyekutangulia anaikubali ccm halafu we unabwatuka kutaja chama ambacho hata misingi yake haijulikani , bas unaugua, bravo south africa
 
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!





Unaonekana umevamia lugha za watu, unaonekana kiingerza chako kinafanana na cha Magufuli.
Hakuna sentensi hata moja mtangazaji kasema kuwa Magufuli atashinda wala Lowassa.
Amesema mengi juu ya ushindani mkubwa uliopo kati ya Lowassa na Magufuli.
Kuhusu kushinda anasema kwa nguvu zilizopo kunaweza kuwa round ya pili ya uchaguzi.
Na hapa ndio kadanganya maana katiba yetu haijui!
 
Last edited by a moderator:
If da peoples of south will vote for Tanzanian election its true DAT Lowasa will loose this chance BT if the people of Tanzania will vote their vote will decide who is their raisi pollen watu wa south pilipili usiyoile yakuwashia nn
 
Kuonyesha kuwa CCM imewekwa kwenye ''kona mbaya'' Shirika la habari la Afrika Kusini limesema uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kuwahi kutokea kwa CCM na mshindi hatabiriki... Hebu bofya hapa usikilize mwenyewe.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom