wakushanga
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 552
- 92
CCM byebye ,
Mabadiliko ni lazima.
Labda ya kuzungusha mikono
CCM byebye ,
Mabadiliko ni lazima.
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!
Ndio tujue kuwa Watanzania wengi wetu ni wajinga na hatuna elimu...Mambo yetu ya ndani...Tuamuliwe na Utafiti kutoka nje...!!! IT MASAKI Bwana!!!CCM Itambue hamna marefu yasiyo na ncha..!!! Na mwisho wa CCM ndio mwaka huu!!!
Hawahakosea wapo sahii kabisa magufuli ndiye rais wetu.
CCM byebye ,
Mabadiliko ni lazima.
Haya bado uko na usingizi. # kazi zaidi.
Hata KANU wakati inaanguka ilikua hivi maneno meengi!! Lakini hawapo leo.