Lowassa watulize watu wako

Muulize Maalimu Seif na serikali yke ya umoja wa kitaifa.
 
Wewe usijifariji kwa kauli za pale kamati kuu kama kwenu hakuna sintofahamu basi ww uko Msumbiji sio Tanzania

Muambie huyo mkuu, hata huku kwetu hali ni tete kwelikweli.
Tutakutana October tu, hatuwezi kusahau dhuluma tuliyofanyiwa na mkwere.
 

Wewe umevimbiwa lala sasa una leta habari za abunuasi huku wewe Rais wako kuanzia leo ni Magufuli hutaki mtapigwa tuu au muhame nchi muende Burundi nako mtapigwa tuu mm ningewashauri team fisadi tulieni kwasababu lowasa ni sawa na yule mpiga filimbi wa ambae kundi la panya lilimfuata wakaishia baharini alipo piga tena watoto wakamfuata na hawakurudi tena
 

Kama na wewe upo nyuma ya Lowassa nachelea kusema CCM walikuwa sahihi kukata jina la Lowassa....

Haujui haya unachokiandika...

Eti wadhamini elfu 87....
 
Mapambano bado yanaendelea! Tuendelezi mapambano hadi kieleweke!

wewe uliyeanzisha Uzi ukitaka hata kesho Magufuli aapishwe??!! au mapambano ya kugombea posho??!!

Be real,vinginevyo nyamaza ili usimuaibishe mwenye jina,au njoo na personal id yako
 
Team Mamvi the game is over, mlijaribu kuleta mafuriko kisoda kimeyazuia, Nchimbi,DaaSophy,Kimbisa,Jerry Slaa,Madabida washarudi kundini naona hiyo ndiyo suluhu kwao.Mzee kingunge, Mgeja na Msindai hata vumbi lao halionekani what a shame.
 
Kama ukiamua kusema chochote sisi tutafuata tu tuko tayari siku zote na muda wote. Asikudanganye mtu eti CCM haijapasuka njoo uku uone watu walivyosusa na kuchukizwa na walichokifanya.
#Lowasa watulize watu wako
Huku wapi? Au watu wa team washaelewa?
 
Hawezi kuhama ccm, itakula kwake.Hizo hela alizo nazo zitayayuka zote na wadhamini wake watakimbia nchi. Mfano mzuri ni mbowe, ccm imemuona hana madhara yeyote na ndio maana anaendelea na biashara zake. Lasivyo angeku juu ya mawe. Muulize bakhressa alivyo shikishwa adabu baada ya kufadhili cuf.
 
itakusaidia nini?hao wana ccm wa lowasa wengi hawatapiga na wakipiga watapiga kinyume na ccm.
'Watu wa Mwanza' wamechana kadi...

Mwanza ina watu wangapi?..wana CCM wangapi?...

Kusema watu wamechana/wamerudisha kadi za CCM/CDM/CUF bila kuonesha idadi haina maana yoyote...

Kuhusu 'kunisaidia nini' muulize huyo uliyejipa jukumu la kumjibia ni kwa nini alisema 'watu wa Mwanza wamechana kadi za CCM mbele yake'...
 
B-w-e-g-e hebu nenda ku flush u-ji-n-g-a wako chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…