Lowassa,Tutalivuka daraja

Lowassa,Tutalivuka daraja

Naomba ujibu hoja za msingi.niko huru si mwanamtandao wenu.ukiwa huru raha sana.

Hoja zipi za msingi unataka ujibiwe? Hizi za kuwaita watu wapuuzi? Hivi ndugu huwezi kuunganisha dots japo kidogo tu kujua nani anahusika na Richmond mpaka Lowasa akutajie? Tuliokuwa jikoni tunajua ishu hii ni propaganda chafu na tumeshaishinda tayari kwa uwezo wa Mungu. Tunavuta muda tu kihakikisha ndoto ya watanzania kupata maendeleo ya kweli inatimia.
 
mbonaa wewe hujawahi kukanusha kuhusu wewe kutumiwa na hawara ya mbowe?

Huu mtindo wa kuwazushia watu uwongo mtupu badala ya kujenga hoja ni mtindo mbaya na unashusha hadhi ya JF. Tusifanye JF jukwaa la UWONGO na uzushi badala ya GT
 
Hoja zipi za msingi unataka ujibiwe? Hizi za kuwaita watu wapuuzi? Hivi ndugu huwezi kuunganisha dots japo kidogo tu kujua nani anahusika na Richmond mpaka Lowasa akutajie? Tuliokuwa jikoni tunajua ishu hii ni propaganda chafu na tumeshaishinda tayari kwa uwezo wa Mungu. Tunavuta muda tu kihakikisha ndoto ya watanzania kupata maendeleo ya kweli inatimia.

Hahahaha! Huna ubavu wa kunijibu hata kidogo! Ok, nipe maana ya neno " mpuuzi" mnaposoma habari jikiteni kwenye mzizi na kuzama kwenye ujumbe ulipo egemea kwanza. Ukitaka niamini hayo uliyosema juu ya EL tiririka hapa na ushahidi wa wazi kama hakuusika ndiyo! Hili ni jukwaa huru usiogope Mura!
 
Hujui kitu kaa kimya.
 
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
Mkuu mbona aliwapa majibu kwenye vikao vyenu mkanyamaza mkapotezea kabisa na misemo ya Gamba ikafa??
 
Huu mtindo wa kuwazushia watu uwongo mtupu badala ya kujenga hoja ni mtindo mbaya na unashusha hadhi ya JF. Tusifanye JF jukwaa la UWONGO na uzushi badala ya GT

Naona jiwe limekupata
lakin ben yahaya endelea tu kubadilisha id kila uchao,lakin iko siku utaumbuka mchana
 
Huu mtindo wa kuwazushia watu uwongo mtupu badala ya kujenga hoja ni mtindo mbaya na unashusha hadhi ya JF. Tusifanye JF jukwaa la UWONGO na uzushi badala ya GT

Hivi kumbe na nyie inawauma?wakati mlivyokuwa mnazushia watu hamlikuwa hamjui kuwa na nyie itawarudi japo hayo niliyo yaandka yana ukweli
 
mkuu jibu swali mbona unaruka vihuzi vya umiseta

Mkuu naogopa kujijibu kwasaba ntakujibu vibaya
Unafaham vizuri mchezo wote ila tu sasa umeamuwa kujitoa akili
Ndio maana unaona nanyamaza sitaki ni kukosee heshima
 
Mimi binafsi sina shida na Lowassa, nafahamu atatupeleka nchi ya ahadi, ila tatizo ni ile minyang'au mingine mingine. Labda asichague uwaziri yoyote aliye baraza la mawaziri sasa. Labda awarudishe Angela Kairuki,Mwakyembe(?), na magufuli japokuwa naye anapenda kusifu hata pasipostahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom