pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Tanzania inajuwa,Dunia inajuwa Lowassa ndiye rais ajaye
Acha bangi zenu, labda raisi wa UKOO wenu
Tanzania inajuwa,Dunia inajuwa Lowassa ndiye rais ajaye
Hukuna kama Lowasa ndani ya CCM, ila tungoje muda.Acheni kusemea watu subiri wakati ufike.
I think ni zamu ya Zanzibar kutawala!!! I stand to be corrected!
Acha bangi zenu, labda raisi wa UKOO wenu
I think ni zamu ya Zanzibar kutawala!!! I stand to be corrected!
Daraja tumeisha vuk tayri mh Lowasaa usiwe na wasiwasi
Aliyekwambia nina hasira nani!? Acha kukurupuka banaaa!!! Mtu kama hafai basi hafai tu.
Kwa maoni yako nani anafaa?kama hafai ni kwako ila kwa wengine anafaa!
Muda wa mpeni kura a ndio bado!, issue ni jee ni kweli atasisimama?!
Na akisimama atapitishwa?!.
Mara ngapi tumeshuhudia kwenye ule upepetaji, "mchele" ndio unaachwa, wanachukua "chuya!",
Jee this time around, watakubali kusimamisha nguzo imara ya mpingo, mninga au mvule, au wataendelea kutegemea mabua?!.
Ila pia lazima tukubali tukatae, afya ya mtarajiwa wetu ni issue!, najihiisi inawezekana ni mimi tuu na wachache sana kama mimi, ndio tunatambua kwa hakika, kuwa tegemeo hilo ndilo silo, huyu ni Yohana Mbatizaji tuu, akiyanyyoosha mapito yake yule yuajaye!.
Pasco
kuna mwana CCM mmoja juzi aliniambia lowassa yu hoi kiafya hivyo tusimtarajie ktk kinyang'anyiro cha kuusaka urais.ilisema huo ni ushindi mkubwa kwa kambi ya kina membe kwani wamesha umaliza mtandao wake ndio hatumsikii tena.

Ujue kuwa bado hata hajalikaribia. Hujamalizia msemo wake... When we reach there. Na mafuriko na mvua hizi kutokana na mabadiliko ya tabia nchi asishangae asipolikuta daraja
Kuna rais wa Algeria juzi kachaguliwa akiwa kwenye kiti cha wagonjwa hawezi kutembea sembuse lowassa? Tutamchagua hivyo hivyo akafie magogoni tuzike!!
Mkuu umeuwa kabsa!!
Ngoja nikanywe maji